Recent content by Dondandugu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu msaada nime deposit mtonyo kwenye 1xbet kwa kutumia tigopesa but hela haijafika adi now. Hivyo msaada wa mawasiliano yao au namna ya kuzipata hela zangu natanguliza shukran [emoji120][emoji120][emoji120]
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada jamani namna ya kujisajili 1xbet na kupata promo code tafadhali shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

    Ni ukweli kitu Kama hicho kilitokea nami pia nilishuhudia dhahiri shahiri nikiwa Geita, in short anachokisema impongo ni ukweli mtupu na wala haongopi ata chembe.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Msaada mwenye motherboard ya DELL INSPIRON 15-3537
  5. D

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Nina laptop yangu DELL INSPIRON 15-3537 ilidondoka kwa bahati mbaya, sasa ukiiwasha inawaka lakini haidisplay kitu, lakini pia ukiizima kwa mbali inaonyesha kamwanga kwa mbaliii sanaaa, je? tatizo ni motherboard au kioo au ni nini tatizoo?? Msaada tafadhali
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Gheto by juma nature, akwelina , tina by flesh p ft nature,kamanda by daz nundaz , mabinti by mwana fa, nipe mimi by mh temba ft ray c, amekomaa side mnyamwezi by mh temba ft q chillah,
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Jinsi kijana ya nature, nashangaa kijana uishia ka kuku ,mwingi mwerevu mwepesi wa kufoget msiri wa kulaumu pikwa wali mbichi...... unasugulia viatu brashi ya kuoshea vyombo, misoksi hujavua inanuka uvundoooo!!! utaokota makopo afu utusafishie jiji, tukiwa tunakula huyu jamaa ata hamezi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

    habar naitwa dondandugu bt halinuki
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    syo compulsory sana mkuu so usimaind bt thanx kwa kunikumbusha ntaweka
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    hili n dondandugu la kale so halinuki
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    na upako nshawekwa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    bas baridaa mkazuzu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    aaaaaaaah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahyo naokota dodo kene mnazi et
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    aaah mkuu ni 'me' aisee
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    tena mabuti
Back
Top Bottom