Recent content by donaty anthony

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hubadili sauti wanapoongea na simu?

    Mimi huwa najiuliza sipati jibu, mtu akipigiwa simu iwe ni wapenzi au jinsia tofauti huwa anabadili sauti kuliko ile asilia. Tatizo nini ushamba au makeke?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tarehe moja April: Jihadharini na 'siku ya wajinga'

    wana jf ebu nijulisheni asili ya sikukuu ya wajinga ilitokea wp na lini na ina faida ipi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta ya gari OILCOM ya Reinbow Mbezi beach

    mkuuu leo nimeweka kwenye ka mkebe kangu mafuta ya 20000 hata mshale haukupanda nikabaki nimeduwaa wacha niwarudie jioni sikubali
  4. D

    JamiiForums Tanzania prado tx inauzwa

    ninauza prado tx lmetembea km104000 engine diseli 1kz manual bei maelewano
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    papaaa kibwana mtu wa watu
  6. D

    JamiiForums Tanzania vitoto vinavyoingia na wachezaji

    mkuu wanaandaliwa ndio maana hata jezi zinakuwa sare
  7. D

    JamiiForums Tanzania vitoto vinavyoingia na wachezaji

    asante mkuu
  8. D

    JamiiForums Tanzania vitoto vinavyoingia na wachezaji

    kweli hata buku ya kujiunga hawana waambie waje kwetu lumumba
  9. D

    JamiiForums Tanzania vitoto vinavyoingia na wachezaji

    mmenuna au
  10. D

    JamiiForums Tanzania vitoto vinavyoingia na wachezaji

    hivi wana jf wale watoto wanaoingia na wachezaji hasa mechi za ulaya ni wa kukodiwa au ni watoto wa wachezaji nijuzeni
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nusu siku ndani ya jeneza

    niliyeye na nyota ya mashuke nifanye biashara ipi au kazi ipi naomba jibu
  12. D

    JamiiForums Tanzania hivi mbuzi na mila za wakilimanjaro zina uhusiano upi

    imekuwa ni tabia kusikia hawa nduguzetu huwa wanakwenda kutambikia mizimu kwa kutumia mbuzi kwani hakuna mnyama mwingine anayefaaaaaaa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la mawaziri

    nadhani alikuwa malanja ex inn
  14. D

    JamiiForums Tanzania umoja wa wa

    umoja wa wazazi wilaya ya kinondoni umewapeleka viongozi wake mkoani morogoro kuwanoa kwenye semina ya siku tatu wakiwa na viongozi wake wa mkoa dsm ccm
  15. D

    JamiiForums Tanzania sijaona chama cha upinzani nchi hii

    karibu vyama vyote vya upinzani vimegubikwa na tamaa ya madaraka na uchu wao ni ikulu si kuwatumikia wananchi bora nibaki na ccm yangu
Back
Top Bottom