Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

Umofia kwenu,
Miaka mi4 iliyopita liliibuka wimbi la kila mtu akiwa na tu milion 2 bank na yeye ni pedeshee anatajwa kwenye vipindi vya redio na kwenye nyimbo za ki-congo lakin mwaka wa 2012 mwishoni mpaka sasa siwasikii kabisa,hv wapo wapi? Au biashara zao zilizokuwa zinawaingizia big money fast money zimekata? Ilikuwa haipiti dakika kwenye redio bila kusikia papa musofe mzee wa pake,kizaizai super tall,chief kiumbe full boss,mama wa magari saadan kashindye,king dodo la bushe,ndama pedeshee,young millionea muzamil katunzi,papa felician and the like siku hizi wapo wapi hawa watu?

Hawa mapedeshee "biashara" yao kubwa ilikuwa ni deals za madini. Wakiwauzia foreigners madini kanyaboya, wakiwapa wanunuzi docs fake za serikali na baadae kuwadhulumu mizigo wakishirikiana na Police.
Walikuja kushtukiwa baada ya serikali yetu kuwa na bad record ya ule utapeli internationally. Mapedeshee kwishney na bendi za dansi nazo zimeathirika kwa kiwango kikubwa huku nyingi zikisimamisha shows. Mapedeshee ndo walikuwa wanawatunza musicians!!
 
Ha Ha Ha Ha Ha Ha wanapumulia mashine ICU.
 
yule pedejee aliyekamatwa anataka kuchinja albino anaitwaje vile?
 
Pe De Shee ni kifupi kwa Kifaransa (P. D. G. Président Directeur Général) Kifaransa inatamkwa Pe De Dje kwa maana sawa na C.E.O kwa Kingereza. Wanamuziki wa kikongo ndio walioleta hilo neno.
 
Wapi ndama mutoto ya ng'ombe huyu aliimbwa kwa show moja ya fally mpaka kero yaani serikali ilikua likizo sijui watu wanacheza na jamuhuri hivihivi ila ss wanalipa bills zao .
nashukuru vita dhidi ya sembe na mambo mengine ya style ile
 
Umofia kwenu,
Miaka mi4 iliyopita liliibuka wimbi la kila mtu akiwa na tu milion 2 bank na yeye ni pedeshee anatajwa kwenye vipindi vya redio na kwenye nyimbo za ki-congo lakin mwaka wa 2012 mwishoni mpaka sasa siwasikii kabisa,hv wapo wapi? Au biashara zao zilizokuwa zinawaingizia big money fast money zimekata? Ilikuwa haipiti dakika kwenye redio bila kusikia papa musofe mzee wa pake,kizaizai super tall,chief kiumbe full boss,mama wa magari saadan kashindye,king dodo la bushe,ndama pedeshee,young millionea muzamil katunzi,papa felician and the like siku hizi wapo wapi hawa watu?

Makorongoe wamepungu
 
Nakumbuka huyu pdg anaenyea debe kwa sasa yaani papaa musofe alikua akipigiwa simu kwenye dansi inabidi muziki usimamishwe ili aweze kuongea na simu. kipindi kile kulikua na marais wengi sana kama rais wa manzese. rais wa kimara. rais wa sinza. kweli ma pdg kwishney
 
Dah usiombe pedeshee ammind demu wako ilikuwa shida wapambe wake wanavyosumbua, na marais walikuwa wengi, rais wa masafi, Abas tarimba rais wa yanga
 
Back
Top Bottom