Recent content by Donald msahala

  1. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania TRL yaanzisha treni ya stesheni hadi Pugu

    safi
  2. Donald msahala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya now has 4.89 Million households connected to electricity

    safi
  3. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimepooza kuanzia mabegani hadi miguuni kutokana na ajali

    pole sana ila ukishaenda hospital nakushauri tafuta GYM onana na gym instructor muelezee tatizo lako kisha atakupa program ya mazoezi alafu utaifuata... kikubwa ni wewe tu kuonyesha ushirikiano usitegee mazoezi fuata kile unacho elekezwa matokeo yatakua mazuri.. Pia Fanya maombi sana... Hakuna...
  4. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimepooza kuanzia mabegani hadi miguuni kutokana na ajali

    vizuri kwanza ungepata ushauri wa kitabibu..
  5. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Mbona simuoni wa kuwatetea ndugu zetu walimu?

    kweli inabidi serikali iwafikilie hawa walimu wanasaidia sana kuinua taifa letu kielimu..
  6. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania CRDB SimBanking mnazingua

    nenda karipoti sehemu usika utakua umewasaidia wengi..
  7. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Kibonde sio lazima ueleze kila kitu wewe

    sio vizuri kumdhiaki MTU jamani toa hoja kwa ustaarabu..
  8. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya kadi ya mabasi ya mwendo kasi

    inabidi wahusika wachunguze hili tatizo walisibitishe kisha walitafutie tatizo hill ufumbuzi...
  9. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    kweli dar es salaam inakua kwa level ya miji ya kiafrika na haiwezi kua kama ughaibuni
  10. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania KIKWETE AMSIHI MAGUFULI BAADA JINA LAKE KUPITISHWA KAMA MGOMBEA PEKEE.

    Mungu amsaidie rais wetu John pombe magufuli aweze kushinda nafasi hiyo..I like him
  11. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu Clouds FM kuiga ubunifu wa E-FM?

    lol.. no sheeda
  12. Donald msahala

    JamiiForums Tanzania Wazungu kumbe nao wana michepuko

    Acha kuweka matabaka kwani mzungu nani na mswahili nani
Back
Top Bottom