Recent content by Don_rich2

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nilikua siikubali Peaky blinders Series

    Nilikua siikubali Peaky blinders...Ila nkaicheck imetisha Sana ...anyways nshamaliza seasons 5 ...nasaka ya 6. Toa maoni yako.[emoji41][emoji41]
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kazi[Careers] zenye future na maslahi mazuri Tanzania

    Wengine watansaidia ...PCM,PGM, etc inshort combination yenye Mathematics and Physics ...au diploma ya izo Mambo kabisa IT, Computer Science etc.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumuomba Mungu kabla ya kuanza mahusiano ya kimapenzi au urafiki

    Umenena vyema Sana Bwana Nyanyantole[emoji817][emoji1488]
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mambo yafuatayo yanatupotezea Sana pesa mijini

    Jamaa kaongea point sana na za kweli, hata kama tutapinga Kwa sababu mara nyingi ukweli hupingwa na hatupendi kuusikia. Pombe,Boda,Bando haswa Internet,Maji ...tena ilibidi kwenye Pombe aongeze na mademu kabisa ..maana most of the time ukishapata vitu vyako vikashuka chini lazima utahitaji...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

    Nmecheka Sana Kwa comments....daah [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Sema mwacheni braza kama kapenda, aoe Tu...Ila atarudi hapa hapa kutupa part 2.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

    Hahahaha [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom