Mambo yafuatayo yanatupotezea Sana pesa mijini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,021
46,148
Maisha yamekuwa magumu Sana laki moja haina thamani Tena hata ukipewa million mbili ndani ya mwezi zinaisha.Huwa nafikiria Sana dada zetu mnaoishi mijini na hamna kazi ya kufanya NI wategemezi mnapitia mengi Sana inawabidi mkafanye umalaya bar ili angalau mpate pesa ya kula. Kwa wale wenye kazi maisha yamebadilika ukiipata pesa yako nunua magunia kwa magunia ya chakula jifanye Kama chizi ukipata laki mbili yako nunua gunia la mahindi weka kwenye mifuko ya Kinga njaa funga,nunua gunia la mchele,mafuta lita tano ya kula tulia. Ukipata Tena hela nunua chakula utakuja kunishukuru baadae mambo sio mambo mjini tunalipa bills nyingi Sana ndo maana mishahara inaonekana haitoshi Kuna umeme,maji,vingamuzi n.k..

Ili uweze kufanikiwa kiuchumi na ukaridhikiwa Hadi kufikia kuweka akiba Basi ni lazima udhibiti matumizi yako kwenye mambo yafuatayo

1. Pombe
Pombe zinatupotezea pesa nyingi sana.pombe sio mbaya NI afya Kama ukiamua kunywa bia yako moja serengeti lager au Safari lager zako mbili inatosha unaenda kulala au Kama NI mtumiaji wa pombe Kali Basi kunywa k vant yako moja au konyagi yako ndogo.. weekend sio mbaya kunywa k vant kubwa moja..kosa tunalofanya NI kutaka kuonyesha ufahari bar..unaenda bar unaagiza fungu anakuja demu au bermaid unamwita unamuagizia fungu Mara mnanongeza mafungu mawilimawili Mara njaa inachoma unaagizia kuku karibia 40000 inakutoka siku moja hatari Sana.

2. Bodaboda
Kingine NI bodaboda...nunua mahitaji yako yote kwa Mara moja ili uepuke kusafirisafiri na bodaboda kwani ukiwa na hela ushapokea mshahara utaona 2000 NI ndogo.utajikuta kila saa route haziishi na kwa kuwa una kibunda huwezi kutembea na miguu kila saa bodaboda kwa siku hata 8000 ushawapa bodaboda ukifanya hivyo Mara tano unajikuta kwa mwezi 40000 tu halafu sio route za kukupa pesa NI route za kutumia.

3. Maji ya kunywa
Japo maji NI kitu muhimu Sana ila maisha yamechange Lazima uchoke kuchangia makampuni haya ya maji hata Kama utaathiri vibarua vya watu...imagine kila siku unanunua maji ya 2000 kwa mwezi 60000...si Bora uwe unachemsha maji nyumbani unatafuta chupa nzuri unajaza.

4. Bundle za internet
Kwa week unatumia 6000 kuunga vifurushi vya internet wakati dakika unakuwa hujazimaliza ila internet imekata. kwa mwezi unatumia zaidi ya 20000.

Ukipiga hesabu unatumia pesa nyingi Sana kwa mambo ambayo sio basic needs na Huku unalalamika mshahara wa laki tano hautoshi wakati ungekuwa unanua chakula na kulipa bills muhimu chenji ingebaki Hayo NI baadhi TU unaweza kuongeza na mengine yanayomaliza pesa zetu.
 
Maisha yamekuwa magumu Sana laki moja haina thamani Tena hata ukipewa million mbili ndani ya mwezi zinaisha.Huwa nafikiria Sana dada zetu mnaoishi mijini na hamna kazi ya kufanya NI wategemezi mnapitia mengi Sana inawabidi mkafanye umalaya bar ili angalau mpate pesa ya kula..kwa wale wenye kazi maisha yamebadilika ukiipata pesa yako nunua magunia kwa magunia ya chakula jifanye Kama chizi ukipata laki mbili yako nunua gunia la mahindi weka kwenye mifuko ya Kinga njaa funga,nunua gunia la mchele,mafuta lita tano ya kula tulia.ukipata Tena hela nunua chakula utakuja kunishukuru baadae mambo sio mambo mjini tunalipa bills nyingi Sana ndo maana mishahara inaonekana haitoshi Kuna umeme,maji,vingamuzi n.k..

Ili uweze kufanikiwa kiuchumi na ukaridhikiwa Hadi kufikia kuweka akiba Basi ni lazima udhibiti matumizi yako kwenye mambo yafuatayo

1.pombe

2.bodaboda

3.maji ya kunywa

4.bundle za internet

Jinsi unapenda mbunye hujaiongelea kabisa 😂😂😂
 
Jamaa kaongea point sana na za kweli, hata kama tutapinga Kwa sababu mara nyingi ukweli hupingwa na hatupendi kuusikia.

Pombe,Boda,Bando haswa Internet,Maji ...tena ilibidi kwenye Pombe aongeze na mademu kabisa ..maana most of the time ukishapata vitu vyako vikashuka chini lazima utahitaji kupunguza nadhani naeleweka.

Anyways control ikiwepo ya hivo vitu na vingine unnecessary...tutakaa vema kiuchumi.

Nawasilisha
 
Maisha yamekuwa magumu Sana laki moja haina thamani Tena hata ukipewa million mbili ndani ya mwezi zinaisha.Huwa nafikiria Sana dada zetu mnaoishi mijini na hamna kazi ya kufanya NI wategemezi mnapitia mengi Sana inawabidi mkafanye umalaya bar ili angalau mpate pesa ya kula..kwa wale wenye kazi maisha yamebadilika ukiipata pesa yako nunua magunia kwa magunia ya chakula jifanye Kama chizi ukipata laki mbili yako nunua gunia la mahindi weka kwenye mifuko ya Kinga njaa funga,nunua gunia la mchele,mafuta lita tano ya kula tulia.ukipata Tena hela nunua chakula utakuja kunishukuru baadae mambo sio mambo mjini tunalipa bills nyingi Sana ndo maana mishahara inaonekana haitoshi Kuna umeme,maji,vingamuzi n.k..

Ili uweze kufanikiwa kiuchumi na ukaridhikiwa Hadi kufikia kuweka akiba Basi ni lazima udhibiti matumizi yako kwenye mambo yafuatayo

1.pombe
Pombe zinatupotezea pesa nyingi sana.pombe sio mbaya NI afya Kama ukiamua kunywa bia yako moja serengeti lager au Safari lager zako mbili inatosha unaenda kulala au Kama NI mtumiaji wa pombe Kali Basi kunywa k vant yako moja au konyagi yako ndogo.. weekend sio mbaya kunywa k vant kubwa moja..kosa tunalofanya NI kutaka kuonyesha ufahari bar..unaenda bar unaagiza fungu anakuja demu au bermaid unamwita unamuagizia fungu Mara mnanongeza mafungu mawilimawili Mara njaa inachoma unaagizia kuku karibia 40000 inakutoka siku moja hatari Sana.

2.bodaboda
Kingine NI bodaboda...nunua mahitaji yako yote kwa Mara moja ili uepuke kusafirisafiri na bodaboda kwani ukiwa na hela ushapokea mshahara utaona 2000 NI ndogo.utajikuta kila saa route haziishi na kwa kuwa una kibunda huwezi kutembea na miguu kila saa bodaboda kwa siku hata 8000 ushawapa bodaboda ukifanya hivyo Mara tano unajikuta kwa mwezi 40000 tu halafu sio route za kukupa pesa NI route za kutumia.

3.maji ya kunywa
Japo maji NI kitu muhimu Sana ila maisha yamechange Lazima uchoke kuchangia makampuni haya ya maji hata Kama utaathiri vibarua vya watu...imagine kila siku unanunua maji ya 2000 kwa mwezi 60000...si Bora uwe unachemsha maji nyumbani unatafuta chupa nzuri unajaza.

4.bundle za internet
Kwa week unatumia 6000 kuunga vifurushi vya internet wakati dakika unakuwa hujazimaliza ila internet imekata. kwa mwezi unatumia zaidi ya 20000.
Ukipiga hesabu unatumia pesa nyingi Sana kwa mambo ambayo sio basic needs na Huku unalalamika mshahara wa laki tano hautoshi wakati ungekuwa unanua chakula na kulipa bills muhimu chenji ingebaki Hayo NI baadhi TU unaweza kuongeza na mengine yanayomaliza pesa zetu.
Umesahau kuhonga wanawake pesa baada ya kuwafanya matusi
 
Niseme Tu maisha tunatofautiana na ukitokea binadamu wote tukaishi kwa kufanana iwe kujibana sana ama kuwa bahili sana, hakuna maisha.
Maisha ni utofauti hivyo jitahidi kuwa tofauti na wengine kusudi ufike mbali zaidi, kama mwenzako anatumia 10k kwa siku wewe tumia 100k ama 3k utafika unapotakakiwa kufika.

Mimi nikienda Mwanza kwa ndege nikalipia 350k wewe nenda kwa basi lipia 55k yaani kila mtu aishi kwa levo zake na sio tuwesawa. Nikienda Malaika hotel nikanunua Serengeti lager moja kwa 5k wewe nenda crocery utaipata kwa buku jero. Hii ndio tafsiri ya maisha.
 
3. Maji solution kununua filter za 80,000 coz kuchemsha gesi au umeme bei.
Mkuu naomba maelezo ya kina Kama unayo please. Binafsi huwa maji navundika sichemshi. I suffocate it for seven days after that i.e eighth day nafungua nakunywa Nina miaka sijawahi pata shida ndani ya familia kuwa mtu anasumbuliwa na tumbo ama chochote kuhusiana na maji
 
Back
Top Bottom