Watu tulikuwa hatupumui, haya kiko wapi?. Tena nahisi waarabu wamewahurumia, mlipaswa mkung'utwe hata goli 10 ili mshike adabu.
Sasa turudi kwenye main point: No reforms, no election.
Akili huna na kama ulisoma hadi chuo kikuu basi wazazi wako walipata hasara kusomesha nguruwe pori!.
Hoja za polepole unaweza kuzipangua kwa vijiswali uchwara kama hivyo?.
Asa degree ndo uharo gani kwa mtu mweusi mzee baba?, degree mpaka bodaboda na wadada wauza matunda kwenye beseni wana degree leo utanambia degree ina faida nitakuelewa?
Tume ya Uchaguzi na CCM yenu mnatakiwa mjitafakari sana kwamba;
Vijana na Gen Z kujiandikisha kwetu kwa wingi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, kusiwafanye muwe na uhalali wa kuamua na kuwa na kauli moja kwamba tutapiga kura!. Kura hatutapiga ila tutatumia hivyo vitambulisho kuombea...
Hey u nigga, WTF u talkin about? 🤔
Wew na huyo mama yako ni malimbukeni, wehu na wendawazimu mbwa nyinyi.
Kwanza; kitendo cha mama yako kuishi na wewe bila sababu za msingi wakati ana mji na mume wake ni uwendawazimu uliopindukia.
Pili; kitendo cha mama yako kuona sehemu zako za siri ni ujinga...
Punguza panic kwa mambo hata madogo.
Unaweza kuwa mtu unayejitoa sana kwa wafanyakazi hasa kuwajali lakini ukakosa kuwa na kauli nzuri kwao yaani kuongea ongea sana na kushikilia jambo. Unakuwa mtu wa kupanic na kuchukua maamuzi yasiyo sahihi kwa muda sahihi.
Narudia tena; Punguza panic.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.