Recent content by Don Vill

  1. Don Vill

    Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Funza ni hatari k Funza ni hatari kwa bukoba ,wanatafuna miguu na viganja hatari mzee ,usipokuwa makini ni hatari
  2. Don Vill

    PreGE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

    Nchi za East Afrika zinaongozwa n Nchi za East Afrika zinaongozwa na magenge ya wahalifu ,hawa vibaka wanashirikiana kufanya ujangili wao na kuzima midomo ya raia ,shenzi kabisa
  3. Don Vill

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tunahitaji serious killer pale mbele , Jackson anajitahidi ila bado
  4. Don Vill

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hakuna kinachoshindikana Kwa mafia eghbali na boss mkuu papaaa Bohely Mutu ya pesa ndefu
  5. Don Vill

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tunamhitaji Isak
  6. Don Vill

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tunamhitaji Isak
  7. Don Vill

    Dollar yaanza kupanda kwa kasi kurudi ilikotoka

    Kuna mataahira yalikuwa yanaropoka eti Samia na mazezeta wake ndio wamepandisha thamani tshs , Na bado federal reserve wanazidi pandisha riba tena , kufikia march chuma kitakuwa 3000 kama ilivyokuwa .
  8. Don Vill

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    Kila siku huwa tunaongelea hili suala humu , wala si mara ya kwanza , sijasoma uchumi Ila common sense Tu inatosha kukupa picha ya hili suala . Serikali imeajiri utitiri wa vilaza wanaojiita watu wa kodi ,sheria na wachumi na hawa mbulukenge wengine wanaojiita think-tanks WA nchi na kuwalipa...
  9. Don Vill

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    Nchi zinafanikiwa kukuza uchumi kwa kuongeza spending power na purchasing power ya mwananchi ,mwananchi anapokuwa na kipato disposable ataspend pesa kwa wingi na hapo ndio economic growth yenye impact Kwa kila mmoja inapatikana ,maana wafanyakazi wataspend pesa mitaani ,hizo pesa zinakwenda...
  10. Don Vill

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    Huyo mhindi ameongea ukweli ,na kwa mataahira wote mnaodhani uchumi unakuzwa kwa kuweka kodi na tozo kandamizi za kipuuzi kwa watu masikini hamna akili . Hamna nchi iliyowahi kufanikiwa kukuza uchumi kwa style hii ,never
  11. Don Vill

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    As long as mbinyo Kwa walalahoi wenye kupata kipato duni unaendelea kuwahakikishia mabilioni ya pesa za kulipana mishahara minono ,posho nono,magari ya anasa ,mafuta na anasa nyingine basi .
  12. Don Vill

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    Hawa matapeli na mazezeta wa ccm ,hawawezi kubali hii . Pumbavu sana hawa
  13. Don Vill

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Brentford kesho inabidi tuingie kininja na mbinu kali za porini , wale wajinga huwa wanakamia game zetu balaa . Makosa ya beki na kipa kesho inabidi kocha afanyie kazi hili suala ,tukicheza kama tulivyocheza na spurs tutasulubiwa vibaya kesho , Brentford wanakaba na wanacheza mpira wa kasi na...
  14. Don Vill

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mna laana ya Wenger ,kamuombeni mzee msamaha ,ninyi leteni mzaha , mtaishia kubeba vibuyu vya ulanzi na makarai ya zege kama makombe yenu ya trophies
  15. Don Vill

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo hamchomoki kwa kibonde Everton , ni mwendo wa kipondo au mkibahatisha draw , Sisi tuko palee tunawapiga chabo tu
Back
Top Bottom