Kikao kimemaliziki Hivi punde Hapa Burkina Faso kwa ukanda wa Africa na Hayo ndio makubaliano Yetu.
Sambamba na Hilo tumekubaliana kuhudhuria Kikao kitakachofanyika Huku Switzerland mapema Mwezi ujao.
Na mwandishi Wetu - Africa
Maskini Mwanafunzi alipitia mateso kama ya Yesu kristu mwana wa Nazareth. Kifo chake kilikuwa cha mateso Mno. Mwalimu hakuwa na Huruma maskini
Nukuu ya kesi
"....…...Mwalimu Respicius akaendelea kumpiga Sperius huku akisema “huu ni usanii, hivi sivyo wanavyozimiaga”*
Wakasimama pale kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.