Recent content by Don jully

  1. Don jully

    Kwa wapangaji wa nyumba Haingii akilini kumpa dalali pesa ya mwezi mmoja hii ni aina ya utapeli ambao unatakiwa udhibitiwe MAPEMA

    Ndugu yangu kuna mifumo ya hovyo imewekwa kiasi kwamba ukiwa umesoma na una kazi ya profession fulani unakuwa umebanwa huwezi kukwepa hata kama kipato kidogo lakini asiye na profession hata kama anapata kikubwa habanwi, mwisho wa siku professionals wanadharaulika wachache wanaokataa dharau hizi...
  2. Don jully

    Kwa wapangaji wa nyumba Haingii akilini kumpa dalali pesa ya mwezi mmoja hii ni aina ya utapeli ambao unatakiwa udhibitiwe MAPEMA

    Nakubaliana na wewe upande mmoja lakini natofautiana na wewe kidogo. Kwenye kuzalisha wavivu, waongo na matapeli nakubaliana na wewe udalali unaongoza hasa huu udalali usi na control au kwa lugha nyepesi madalali wa mtaani wasiokua na ofisi maalumu. Pia kwenye kiasi ni kuwaendekeza hawa wavivu...
  3. Don jully

    Kama dunia duara, je unaweza ukatoka Tanzania ukazunguka kwa muelekeo uleule na ukaja tena kutokea Tanzania?

    Uelewa wa kawaida kabisa ambao haihitaji kuwa na elimu kubwa sana. Marekani walipambana na Japan vita ya pili ya dunia kwa namna gani ilihali ukiangalia kijiografia zinaonekana mbalimbali kwenya ramani iliyopo flat. Pili unadhani ndege ikisafiri kutoka Marekani kwenda Japan inachukua uelekeo wa...
  4. Don jully

    Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Mengi uliyoandika yana ukweli kwa kiasi kikubwa, wanajua sana watu maarufu na mengi yasiyo ya maana na kutojua ya msingi hata yale yanayohitaji common sense. Wengi wao wamemaliza shule mapema kutokana na kuanza shule mapema, hawafundishiki, they assume they know everything. Wengi wao akili zao...
  5. Don jully

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Ndoa sio kama wengi wanavyoichukulia, kuna tofauti kubwa sana kabla na baada ya ndoa. Kikubwa kwenye ndoa ni kuenzi utamaduni, kuwaheshimisha na kuwaheshimu wazazi, kutii maagizo ya dini na kiungo cha familia yako. Mleta mada kaandika experience aliyoipata ambayo inawawakilisha wengi walioko...
  6. Don jully

    Je, vijana wa miaka 18 - 29 wanaweza kuugua ugonjwa vidonda vya tumbo?

    Vidonda vya tumbo anaweza kupata yeyote, umri wowote hivyo vizuri unapokuwa na tatizo la kiafya wahi kituo cha kutolea huduma za afya pata vipimo na matibabu na maisha yaendelee.
  7. Don jully

    Kwanini shule za CCM chino Umoja wa Wazazi zinakufa?

    Ni vituko kwakweli hahahhaha
  8. Don jully

    Kwanini shule za CCM chino Umoja wa Wazazi zinakufa?

    Hizi shule miaka ya nyuma zilikuwa msaada mkubwa kwa waliokosa nafasi shule zilizotambulika kipindi kile kama vipaji maalumu. Mfano, Mzumbe, Mazengo, Ilboru, Msalato, Kilakala n.k na wanafunzi hao walikuwa na uwezo mzuri darasani na ukizingatia shule za secondary binafsi zilikuwa chache so...
  9. Don jully

    Teknolojia Inavyotumika Kishirikina

    Ndio mkuu, japo kuna upande wa pili ambao wa mema.
  10. Don jully

    Teknolojia Inavyotumika Kishirikina

    Ni kweli street journalism imefanikiwa kuibua maovu mengi, na pia kuna mambo mengi yenye vinasaba vya kishirikina yanaibuliwa na kushindwa kukamilika hivyo bado teknolojia ina uwanda mpana sana na kubeba lililo jema na baya. Ndio maana bado dhamira ya muhusika ndio itahesabiwa. Kuna anayerekodi...
  11. Don jully

    Teknolojia Inavyotumika Kishirikina

    Kumekuwa na matukio mengi yanayoendelea hivi karibuni na watu kwa kujua ama kutokujua wamekuwa wakitekeleza roho za kishirikina. Mathalani kumekuwa na wimbi la watu kurekodi matukio ya udhalilisha, aibu, uovu na hata mambo ya hovyo. Siku hizi ni fashion kurekodi matukio maofisini, majumbani na...
  12. Don jully

    Kuweni makini wanaume mwenzangu!

    Hahahaha wewe ulitangulia mjini kabla yake.
  13. Don jully

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Hongera kwa kuaminika bila hivyo pengine wasingeweza kukuambia wanachokitaka. Una wajibu wa kuwapatia ufumbuzi aa mgogoro wa nafsi na mgogoro na wazazi wao na hivyo wasipopata utatuzi wa changamoto hizo unaweza kuwaathiri kwenye masomo yao au pengine kuchelewa kuenda sambamba na wengine. Hebu...
  14. Don jully

    Eti huyu baba ana midume miwili inaayomuweka mjini.

    Haaahaaahaaa nadhani natengeneza yangu kwa thread hii
  15. Don jully

    Eti huyu baba ana midume miwili inaayomuweka mjini.

    Haaahaaahaaa umenifanya nitafute tafsiri ya bujibuji haaahaaahaaa
Back
Top Bottom