mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,330
- 4,854
Sote tunaujua mpira ya mpira ambao uotumika kuchezwa na wachezaji vipi ule si duara kama dunia!? Leo hii ukiuchukua mpira ukachukua makapeni ukauchora mstari kwa uelekeo uleule ukazungusha, mwisho unatokea palepale ulipo anzia kuchora, nadhani umeelewa, okee!!
Basi leo hii ukachukua ndege yako ambayo ina speed, yaani ile kilometa 1500 kwa dakika 5, ukaja ukaanzia safari Tanzania, ukaipiga gia haswa kwa kuatokea Tanzania na kufuata uelekeo wa Kaskazini yaani ukapita nchi zote duniani je unaweza kutokea Kusini kwa kuifikia ile point ya Tanzania ulipoanzia safari..?
Pia naomba kuthibitishiwa hilo kwa kunihesabia nchi, mabara, kwa kuanzia unapotoka Tanzania kwenda Kaskazini na kuirudia tena Tanzania na kutokea Kusini kurudi Tanzania ili tuipate hiyo maana ya dunia duara, mana tukianza kujibiana kisayansi hapa tutadanganyana na mtuambie nani alizunguka na akarudia palepale, msije na hoja za setelaiti au ukiwa kwenye ndege nooo, mtupe mifano inayoonekana