Recent content by Don joshua

  1. Don joshua

    Wanaojuwa ubora wa Zitto Kabwe wanaiona thamani yake

    Unajua akikua ataacha si unajua binadamu hatujakamilika 100% ndio ilivyo kwa ZZK kuna sehemu hajakamilika
  2. Don joshua

    Wanaojuwa ubora wa Zitto Kabwe wanaiona thamani yake

    Yaa ZZK yuko vizuri busara zake ndio maamuzi yake kuwe ka uzalendo mbele na kutoa masilahi binafsi na huu ndio msimamo wa mh. ZZK ktk maisha yake.
  3. Don joshua

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mkuu umeona ee nchi changa kama hii maaskari kibao kutoka monduli wengine wamekodishwa kutoka moshi
  4. Don joshua

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mchakato wa serikali tatu unamaana kubwa kwa tuliofikiria kama wengine na sio kuongeza gharama tunachohitaji ni Accountability & Transparence of Good Governance na sio uendeshaji wa gharama maana uendeshaji wa serikali yoyote ule una gharama kubwa na si kidogo lakini kama wanaoendesha hawajui...
  5. Don joshua

    CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

    Mfumo wa Chama chetu bora chenye watu wenye hekima hatuna nia ya kuchochea maandamano yenye kumwaga damu nia yetu ni kuleta mabadaliko na ukombozi kutoka ufisadi wa watu wachache wanao wanyonya wanyonge kwahiyo maridhiano ya maandamano ni ya amani na sio kuleta vita..
  6. Don joshua

    CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

    Mmmmmmmm but we need comptence
  7. Don joshua

    Kikwete ready to have a sit down with UKAWA

    Sometimes people from different attitude sit together to make mutual reconciliation to win the national cake of our country but in these case nothing will arise rather than wastage of resources for young country like Tanzania
  8. Don joshua

    Yajue makundi mawili ya TAHLISO

    Ok ngoja tusubiri lkn mkuu Tunaomba kuwe na mabadiliko TAHLISO kwa sasa ya uongozi na utendaji maana kutuambia kuna makundi mawili na kila kundi linatoa taarifa yake linavyoamua na sisi wanafunzi tunategemea chama chetu makini kama TaAHLISO hakina makundi kama ya CCM plzz over Plzz tunaomba...
  9. Don joshua

    Yajue makundi mawili ya TAHLISO

    Kahumba,,, mie nataka utupe taarifa ya kuaminika na sio propaganga za siasa ni lini vyuo ambavyohawajapatiwa pesa zao watapewa???
  10. Don joshua

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Zitto aache ujinga wa kuchafua chama yeye ni nani hapa mjini bhana
  11. Don joshua

    Angalizo kwa wenye mahusiano na Wanafunzi wa Tz wanaosoma nje!

    Pole kaka lnk mapenzi ya nje ni balaa..tafuta wa kwenu huku bongo..
  12. Don joshua

    Funguka Mbunge Wako Yukoje?

    Mbunge wangu na mkubali sana Tundu Lissu sema CCM wanambania sana kuleta maendeleo jimboni kwake.
  13. Don joshua

    Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

    Jamani dr kachoka naye..
  14. Don joshua

    Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

    Dr slaa naye ila yuko kwenye ndoto siwezi kumshangaa...
Back
Top Bottom