Fundi, Issue ya Ku Outsource ni Muhimu sana kwenye Uchumi, Tatizo ni pale ambapo tunaona Gharama kwenye kutengeneza na kuendeleza vya kwetu lakini hatuoni Gharama za kununua na Service za Ma V8, while kuna cheap cars ambazo zinaweza fanya kazi hiyo hiyo!
Habari wana Jamiiforums,
Mimi ni mgeni jijini Arusha, natafuta kiwanja maenezo mazuri yaliyotulia ambacho kitafaa kwa apartment au min hotel…naomba recommendation zenu sehemu gani ni nzuri kwa Jiji la Arusha!
Natanguliza shukurani!
Huruma ya wananchi itamsaidia Nini...anko anapenda watu wachapakazi lakini wafate maneno yake tuuu kama alivyo makonda ili credit zote zirudi Kwake, na hyo ndo siasa...lakn kwenye issue za professionalism hakuna siasa kaka...kama watu ni dhaifu ni dhaifu tuu...alafu aliyewekwa ndio dhaifu zaidi...
Habari Wana Jamiiforums...
Let's cut to the chase, Nina mawazo mawili ya biashara katika area ya insurance na financial services ,Kwa research tulizofanya yanaweza kusaidia Watanzania kukua kiuchumi kuendana na mabadiliko ya science na technology! So far tumefinance all of the research work on...
Ebu Wabunge Waingilie kati haya malumbano yasiyo na msingi, na kuanza kujadili maswala yenye tija kwa taifa, Na kuacha kupoteza Hovyo Fedha za Walipa kodi! Ndugai ni mtu Dhaifu wa kwanza pale bungeni, Kiongozi Dhaifu
Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
Ndugai kweli ni Hamnazo, kwake yeye anaona signature ina maana sana zaidi ya mtu aliyeifanya kazi. Hvi hakuna uwezekano wa Bunge kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Spika. Hata anavyo-handle hili swala inaonyesha Udhaifu wake kama Kiongozi.
Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu! Hauko sahihi hata kidogo. Anayekosa huenda tuu anatafuta mahala ambapo hakupangiwa. Kitu kikubwa ni Kumuomba sana Mungu akuongoze mahala Riziki yako ilipo!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.