Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

Namshauri atulie kama Utouh alivyojikalia zake kimya, mweyewe amesema kazi zipo nyingi za kufanya atuliza ball, hii nchi Maganster wengi.
 
Assad ana ujeuri. Ila watamvamia wamtoe documents zote kama walivyomfanyia fulani.
 
Namshauri atulie kama Utouh alivyojikalia zake kimya, mweyewe amesema kazi zipo nyingi za kufanya atuliza ball, hii nchi Maganster wengi.


Huyu wala hana huo muda mchafu kupiga makelele..kwanza mtu mwenyew ni smart kuliko boss kwake kazi njee nje!naona leo Ndugai hatameza yale madawa yake acelebrate
 
Ndio maana jina lako nguruwe uliona wapi mtumishi amuulize mwajiri wake eti naendelea au hapana laana tulilahi aleik ya nguruwe
Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;
Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na kipindi kingine kwa maelezo mengine Prof. Assad hana busara na hafai kuwa kiongozi!
 
Inaelekea zaidi ya 95% ya wanaotumbuliwa wanakuwa na makandokando yanayowafanya waogope 'kujitetea' maana wanakuwa wanajua kuwa ukisema lolote na 'uchunguzi' ukafuatia matokeo hayabebeki.
Sasa huyu prof inaelekea anajiamini kuuliza hata kama ni 'kutii mamlaka' lakini bado anao ubavu wa kusema kulikoni.
Anyway, wengine tunaendelea kufuatilia uchukuaji fomu kwa watendaji.
 
Ndio maana unaitwa "KIGURUWE", maana akili yako inaendana na jina.

Sisi wengi humu JamiiForums tumeshawahi kuwa watumishi wa kuajiriwa Serikalini na/au Sekta binafsi pia, na wengine tumesoma "SHERIA" ila hili la kutoa taarifa kwa muajiri miezi 6 kabla ya mkataba kuisha "TUNALISIKIA KWAKO".
Nami nilitaka kushangaa, yaan muajiliwa utoe taarifa kwa muajili inashangaza
 
Ni kweli hafai alijua Ana contract ya miaka mitano Wala hakutakiwa hata kusema Sijui alitarajia Sijui mambo yalivyoenda huo ni uswahili sio professionalism.Legally you when you have a five year contract unatakiwa uishi na ujue una five year contract.,Full stop.

Jibu professional alilotakiwa atoe bila kuleta sokomoko za kiswahili za kijinga ni kujibu mkataba wangu ulikuwa miaka mitano umeisha full stop.

Msomi gani huyu anajibu Kama layman wa manzese? Majibu aliyotoa hayaonyeshi Kama ni ya mtu proffessional.
Wote tunajua ww kila kitu unasifia hilo halina ubishi, hata utenguzi wa kichere tra ulisema sawa na leo pia unasema sawa,
 
Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;
Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na kipindi kingine kwa maelezo mengine Prof. Assad hana busara na hafai kuwa kiongozi!
Kuna aina za utumishi ambazo unatakiwa kutoa taarifa kama hiyo. Kwa case ya CAG kwa kuwa umri wa kustaafu kwa lazima ni miaka 65 hakutakiwa kufanya kama unavyofikiri.
 
Wa tz tunapelekwa puta mno yani,cjui tumelogwaa hau ndo mnyaazmungu kataka tuwe hivi mazezeta
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake



Huyu mzee anazeeka vibaya
Huruma ya wananchi itamsaidia Nini...anko anapenda watu wachapakazi lakini wafate maneno yake tuuu kama alivyo makonda ili credit zote zirudi Kwake, na hyo ndo siasa...lakn kwenye issue za professionalism hakuna siasa kaka...kama watu ni dhaifu ni dhaifu tuu...alafu aliyewekwa ndio dhaifu zaidi ili hata hayo madhaifu asiyagundue, kuna mengi nyuma ya Pazia tusiyoyajua wananchi. mimi naona prof ametuonea huruma sisi wananchi.
 
Mr Yamoto hakuna Kifungu chochote cha Katiba kilichovunjwa. Ukikisoma hicho kifungu kinasema CAG atakaa kwa muda wa miaka mitano ambayo inaweza ikaongezwa mitano mingine. Yaani vipindi viwili. Prof. Assad aliteuliwa Novemba, 2014. Amekamilisha miaka mitano Novemba, 2019. Rais hajaamua kumuongezea miaka ile mitano mingine na halazimishwi kutoa sababu. Kavunja Katiba wapi?
1572866596221.png
 
Chuma hiki......a true Son of his father! Tuna wanaume wengi wasomi but this era they behave like chickens, tigers are very few GO ASAD it shall be well with u!
Only one man with real balls Prof Mussa Assad
 
Soma katika ya Tanzania
Ukishatumikia nafasi ya CAG haruhusiwi kujiunga na chama chochote cha siasa..
Arudi UDSM au agombee urais kwaka kupitia chama ........kama mgombea huru angeruhusiwa TZ watu kama hawa wangepata uungwaji mkono mkubwa japo sio wanasiasa ila wanaweza kusimamia majukumu yao wanayokabidhiwa.Mimi binafsi ananiinspire sana huyu mweshimiwa
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
Bado ana 58, msidanganywe, ukweli ni kwamba alikataa kuburuzwa na JPM
 
Back
Top Bottom