Recent content by Dominick Charles

  1. D

    Elimu Bure: Zigo linalokwenda kuwaamgukia waalimu?

    mkuu kama wewe ni mkuu wa shule basi sema shule yako imeshawasilisha mchanganuo wa bajeti ya January-June,, me mwenyewe ni makamu mkuu wa shule hapa nlipo mpaka saiv hakuna bajeti wala mchanganuo tuliopeleka kwa DSEO na wakuu wapo Mwanza kwenye kikao cha TAHOSSA Taifa,, labda tusubiri warudi ndo...
  2. D

    Kimya kimeghubika nchi

    Nakwambia mimi siku ametangaziwa ushindi magufuli nlikuwa safar kwenye private car moja hv tukaanzsha ubish na njemba moja kuhusu matokeo ya NEC ya kupika,, hyo jamaa nusra tuchapane makonde baada ya kusema anauwezo wa kunshusha porini kwa vle nchi tayar wanayo,, niljaa sumu ya swira hatar...
  3. D

    Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

    huyu anaonekana haknyonya sawasawa,akili yake fupi sana huyu!
  4. D

    Hii la mahakama ya kadhi limekaaje?

    mkuu naomba nkurekebishe, 'sio mahakama ya ardhi' ni mahakama ya kadhi
  5. D

    Wananchi wa Solwa Mkoani Shinyanga tunaonewa - Tunahitaji M4C mtuokoe

    Unayonena hakika ni ukwel tupu maana hata mie wazaz wng wamezaliwa hko kwny hlo jimbo na mpaka leo hii wanaishi kijiji cha Nyashimbi kata ya Itwangi kama maeneo hayo bado hayajagawiwa upya. Kiukweli inasikitsha sana kuona vijana kama mm nmeungansha ngv zangu ktk majmbo mengne na kuongoza...
  6. D

    LIVE: Dortmund VS Madrid...ukitaka kujuwa unakokwenda muulize anaerudi...

    Hata kama ni fitna acha hvyohvyo wamekiona kilchomtoa kanga manyoya,nauchukia sana utawala wa Spain ktk soka! Mmh! Lkn tukirudi nyuma jana ingekuwa ni sisi (nadhan umeshajua) tungechezea wiki ktoka kw the Bavarians
  7. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

    Mbona hata Ludewa watafka! Baada ya Mbeya ni Njombe na kwa Makinda
  8. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

    Saiv waheshmiwa wamepmzika countryside kwa wasomi wenzao tyr kwa kipute cha kesho!
  9. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

    Yaani hata waliokuwa hawana hela walgusa tu masandku ya pesa ili kubarik harakati,pia kuna fomu maalumu wananchi walkuwa wanatia saini zao kubariki wabunge wa chadema waendelee kugomea maamuz yote mabov ya kiti cha spika zidi ya wabunge wa upnzani! Wananchi wameunganisha ngv zao kupgania taifa...
  10. D

    Hilal Phantom,, Bilionea la Shinyanga na Tz

    Hela wanayo aise,wana cotton ginneries na vwanda vngne kama plastics,soda na wanasupply cement,sukar pamoja na ununuz wa choroko,mbaazi na dengu at large scale! Lkn hakna wa2 wakatil kama hawa,pale jambo bwana mfanyakaz akikosea hupewa adhabu mbl,either atandkwe vboko sita akiwa amelala chn au...
  11. D

    Hilal Phantom,, Bilionea la Shinyanga na Tz

    Kaka hyo MTL wa maganzo au kwa jina lake 'Issa' anamliki hisa tu ktk hyo kampuni kwn ina watu wengne ktoka China na nch zngne za kiarabu! Hisa zngne ni za mzee Mohamed na mwanae Soud(mkurugenz),mzee Mohamed ni ba'mke kwa Issa,hcho ndo nakfaham kuhusu MTL,coz nmefanyakaz pale 4 three yrs,Suleiman...
  12. D

    Kesho Iringa: Lema, Sugu, Lissu, Kiwia, Wenje Msigwa na Dr. Slaa kuhutubia

    Ni katika viwanja vya Mwembetogwa kuanzia mishale ya saa 8 mchana pale soksi ztakapotoka na viatu kubakia miguu, kama unahisi haujawahi kushuhudia live performance basi fika bila kukosa!
  13. D

    Lucky Dube: Do you wanna be a well fed slaves or the hungry man?

    R.I.P,Look in the eyes of a homeless man, tell me what u see? In the eyes of a jobless man,tell me wht u see? Wht about the eyes of a prisoner,wht do u see? Now u've seen it all,it's time to make up your own mind! Don't try to hide it,coz I can seen it all in your face! It's the same question...
  14. D

    Msigwa akalia kuti kavu. wananchi walimtuma kutetea maslahi yao sio kupiga kelele bungeni

    Hv ww upo sehem gn vle? Irnga ipi unayoizungumzia.....?
  15. D

    Bungeni: Lema awataja CCM kama waasisi wa udini nchini

    Huo ni uvivu wa kufikiri mkubwa, unapocriticize mawazo ya m2 ni lazma utoe ya kwako! Plz! We need perceptions, nn kifanyike kuondoa udini nchini?
Back
Top Bottom