Et watoto tu hawasomi!!!
1. wasome nini?
2. katka mazingira gan?
3. Wakiwa na mudi gan?
4.Nan anwasidia?
5. nini maana na 7bu za malez mashuleni?
6.watasomaje wakat saluni na vibanda vya kuchajia cmu ziko karibu na shule?
7.JE mabaamen/women watakaa na nan?
8.Boda boda vmpakie nani?
9...
mhh... matatizo ya walimu yanasemwa kwa kejeli kam dhambi ya zinaa, serikali ya ajabu hii mipango mizuri 100% utekelezji 0%
Walimu mjipange na mpango wa FUKAMA, serikali inachezea taaluma yenu, mkigoma serikali inatamba kuwa watawaajiri wamachinga, m2 unaeelimisha uma muelekeo wa maisha ktk...
Ahsante kwa mada nzuri sana
Mungai na sera yake ya kufuta kilimo ndo 7bu ya nchi kutokuwa na wataalamu wa kilimo, cha kushangaza sera ya kilimo kwanza inaanzishwa lkn waliojiunga na koz izo ni walosoma HGK,HGL,EGM.HGE. wizara wanapewa viongoz wenye mtazamo wa kikuku wanaotumia nguvu nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.