Habari ya wakati huu wakuu,
Fundi yeyote aliye mtaalam wa kupaua kwa kutumia chuma (steel) anicheki PM tafadhali ama anicheki WhatsApp kwa namba 0654335361, nawasilisha
Hata wakifika hao bado hatutaweza kumaliza kazi kwa siku moja, kazi ni kubwa ya floor kama 12 nje ndani kupigwa plaster...... changamoto itakua usimamizi kama watakuja kwa mara moja tutajaribu kufanya namna tu ya kuweka utaratibu mzuri kila mmoja apate katika usimamizi mzuri
Mafundi wa ujenzi, kazi ni upigaji wa plaster siku ya kesho tarehe 07/09/2026 wanahitajika wa kutosha kama unaweza ama unamfahamu mdau anayeweza kufanya hili jambo mjuze aweze kusogea karibu, Asubuhi na mapema tukimbizane........
Kazi ni kubwa na mafundi ni wengi sana wanaohitajika kwa wepesi...
Dhana ya urefu na ufupi wa mtu juu ya Udyudyu wake nafikiri iko kimakosa sababu kuna watu wana miili mikubwa na maumbile madogo na kuna watu wana miili midogo ila maumbile yako vyema kabisa, swala la maumbile ni jambo la kibinafsi sana.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.