Ukimpata aliyeanzia Certificate hadi kufikia Degree, huyo ni jembe sana.
Kwa Mtazamo wangu, kwenye Degree mambo mengi yanakwenda kinadharia sana, lengo likiwa ni kukamilisha Semester. Kwny Diploma ya Ed, muda wa mazoezi ya Ualimu na Ufundishaji ni mwingi sana.
Nimekutana na vijana wengi wa...
Kwa tunaomjua Bw. Juma R. Iddi, tunawaonea wivu wana Arusha. Huyu Jamaa ni jembe la ukweli.
Watumishi wazembe Arusha waanze kujirudi wenyewe maana Iddi ana namna yake ya kudeal na Warasimu na wababaishaji.
Halmashauri ya Same wanafahamu jinsi wala rushwa na Wazembe walivyohamishwa na wengine...
Sikulaumu Kijana,
tatizo lako unakula kila unacholishwa bila kuhoji; ukijumlisha na buku 7 unaisahau kesho.
Kama kweli wakoserious, wakodi wapelelezi mahiri wachunguze na waende mahakamani
Nimefuatilia hii move tangu inaanza hadi ilipo, nikakumbuka mbinu moja ya kijeshi aliyoitumia Yoweri Museveni in 1980's, na baadaye Best yake Mr. Slim kule kwake kwny miaka ya 90.
Waliwavisha wapiganaji wao mavazi ya Majeshi pinzani na kuwatuma kushambulia na kufanya uhalifu mwiingi; ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.