endelea kumpenda na kamwe usife moyo....kama unapata nafas mara kwa mara jaribu kukaa nae sehem tofauti namaanisha usipende sana kuwa nae tu pale unapohitaj ngono bali kila mnapopata nafas kaeni na kuongea mambo tofauti na ngono.... kukaa nae mara kwa mara kutasababisha afunguke mengi na...
Kwa ushauri wangu mdogo, anza kwanza kujikusanyia kiasi fulan cha pesa...njoo hapa ukiwa na chanzo chako alaf sie tunafanya kujazia ...huweza omba mchango from zero mdogo wangu....mi ntakuwa wa kwanza
nac
hoka sasa yaan tuna visa sana sie wadada ....we niite alaf nipe uhuru wa kuagiza chochote uone mbwembwe zangu alaf nifuate nyuma nyuma ukajionee maajabu saba ya dunia jinsi nnavyokula embe ngongo nkalale....hahahaha jmn wadada msinipigee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.