Recent content by dokuri

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

    lafudhi yake ndio inayomfunga iyo laufudhi ni ya mtanzania kabisa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

    i like you answer
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    unafamu kitu kinaitwa kununua ukoo dogo ili kuwa frame immigration bado mtoto wewe kanyonye kwanza
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    hujui kama kuna wakimbizi huwa wanatoroka kambini na kujichanganya uraiani kuna familia huwa zinakaa kambini had miaka 15 wengine wanachoka wanaamua waingie kitaa wenyewe huwezi kujua hii michezo ndio maana nimekwambia wewe sio immigration vitu vingi vipo nje ya uwezo wako
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    wewe huko uliko kijijini ngara unajua kuliko immigration au unataka tuweke tarifa za ndugu zake waliondoka lini kutoka kambini kwenda USA uwe ugomvi apa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    dogo huna akili kibu kaishi kwenye kambi za wakimbizi na baadhi ya wanafamilia yake washachukuliwa wanaishi marekani na siku akistafu tu soka anakula udhamini wa ndugu zake wa kwenda kuishi state kupitia ndugu zake wewe utaendelea kujamba apo kijijini kwenu
  7. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

    uchafu wote upo under control now local government ready improved apo ndio sehemu ambayo mistake ilitokea
  8. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

    watu wanazichukulia poa sana security agency za TZ kina born town wameeaza kwenda ussr na china 1980s huko kupata mafunzo leo waje wazidiwe ujanja kirahisi ivo
  9. D

    JamiiForums Tanzania FA Community Shield:-Manchester City vs Manchester United

    awa wapi kwa hawa watoto
  10. D

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    city anakufa
  11. D

    JamiiForums Tanzania FA Community Shield:-Manchester City vs Manchester United

    city anakufa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Gamond: Azam ndio kipimo sahihi Kwa Yanga kuliko simba

    ni ngumu kuwa na upinzani kweny low standard level kwahyo yanga kukosa upizani hakuna cha ajabu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Router za 5g postpaid ni mkenge au kuna faida?

    zipo vizuri kama mnatumia wachache ila kama ni wengi ziinazingua hasa mkiunganisha na pc mimi mwenyewe natumia niko nayo apa
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Wakati wa Karia kumuombea Max uraia, akipige stars

    madunduka mengi hayajitambui yey anazani urai ni kama kupika chapati na vitumbua
Back
Top Bottom