Recent content by DOKEZO

  1. DOKEZO

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Balaa la watu kutekwatekwa mbshhhhkvsgsjhsbdvsn
  2. DOKEZO

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Duh si mchezo!! Umekuwa Superstar sa hivi katika level ambayo mtu kuonana na wewe ni bahati ameipata!!. Sawa Boss nakubali nakubali
  3. DOKEZO

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    Mwenetu vipi upo hai au umekufa??
  4. DOKEZO

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezwe
  5. DOKEZO

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sio daraja la Salander, hilo linaitwa daraja la Tanzanite. Daraja la Salander ni lile chini kule la zamani
  6. DOKEZO

    Simulizi: Msegemnege

    Mzee JS, bado upo hai?
  7. DOKEZO

    TANZIA Mungu ailaze roho ya Janken John Njunde mahali pema peponi

    Ni siku yako ya kwanza leo umelala katika udongo wa ardhi toka jana zoezi la kukuhifadhi katika makaburi ya Ununio likamilike. Janken umekwenda kaka tuna imani Mungu amekupokea kwa furaha baada ya kutimiza malengo aliyokupa hapa duniani. Tunaamini umefika salama kwa mungu baba hakika kama...
  8. DOKEZO

    Accounting Software kwa ajili ya shule

    Namkaribisha sana PM kwa mawasiliano zaidi
  9. DOKEZO

    Accounting Software kwa ajili ya shule

    Habari wakuu. Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema. Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and...
  10. DOKEZO

    Simulizi: Msegemnege

    Mbshhh
  11. DOKEZO

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wengine hatuongeagi ila next time usiulize maswali ya kcenge kama haya. Unaboa phala ww,ukiwa unajisikia kutuma tuma ikiwa hujisikii basi kausha sio kuuliza maswali maswali ya kiwaki.
  12. DOKEZO

    Simulizi: Msegemnege

    Bado tu. Kha!mbshh
Back
Top Bottom