Recent content by Dogolo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

    Katazo limekaa kiafya zaidi kuliko Dhambi...mchafu, mtakufa coz ukipika vibaya or asipoiva minyoo itakuua....usilazimishe kwamba kula Nguruwe ni Dhambi....na andika la kula Nguruwe ni Dhambi halipo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    Kitendo Cha kuja Room Tayari umeshajianda.......Labda useme unaomba uchezewe(ufanyiwe romance) na hapo Gharama inabid tugawane
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    wife material ,sio kweli... Wewe huna kampani na yeye hana kampani ....kwa swali nililokuuliza, Bado hujajibu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    Wewe kwenye hiyo meeting ulimchangia Nini or alinufaika na Nini kwako?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    Ukubwa wa Utajiri wa mtu unatokana na vitu vitatu tuu(3) #1. Matumizi ya Muda wa mtu #2. Uwezo wa Akili #3. Material alizonazo. Ukiona unashawishika kumfuata mtu ili akushauri...means utatumia muda wake na Akili yake(1&2) ili kukunufaisha wewe(Customer)...Dunia haikuumbwa kwa ajiri ya Ubure Bure!
Back
Top Bottom