Recent content by dogojanja 87

  1. dogojanja 87

    Ni wapi Dar napoweza kupata vifaa vya gym?

    kariakoo mtaa wa gerezani, ni imara, bei nafuu na bora zaidi ya hizo za mcity
  2. dogojanja 87

    Ufafanuzi: Safari za nje za ofisi ya CAG

    vijana wa CAG mlizoea kula bata kwa safari za nje zisizo na tija, tulieni magufuli awanyooshe.mlizidisha sana bata mkasahau kujipanga. mtaisoma namba
  3. dogojanja 87

    Nigerian solves 150 yrs Math Problem!

    ngoja niitafute nikomae niisolve, maana mi mwenyewe mtabe
  4. dogojanja 87

    Baada ya Salva kuondoka Ikulu, Premi Kibanga naye afungishwa virago!

    haina haja ya kuteua from nowhere nafasi zitangazwe wenye sifa waombe wafanyiwe interview ikulu iwe na watendaji wenye uwezo sio kuteuana kwa kulipana fadhila.sekretarieti ya ajira ipo, ipewe hiyo kazi
  5. dogojanja 87

    Sintatafuta tena Girlfriend humu Mtandaoni_Nimejifunza!

    uliibua shoga nini? maana wamo wengi humu
  6. dogojanja 87

    Uchumi Supermarket wafunga biashara Tanzania na Uganda

    Afadhali,maana kuna demu nimemtongoza mule miaka zaidi ya miwili anaringa tu,baada ya hiki kichapo ataingia tu kwenye anga zangu.asanteni uchumi makao makuu
  7. dogojanja 87

    Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa

    Baada ya kuchoshwa na vijana wenzangu,nimeamua kuja hapa kumtafuta mdada mtu mzima kidogo age 30 and above.Any interested woman tukutane PM.age yangu 28.OVER
  8. dogojanja 87

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Wasubiri msumari wa moto utosini,kazi inaisha asubuhi ya tar 25/10
  9. dogojanja 87

    Upepo wageuka tena, Juma Duni Haji kuwa Mgombea Mwenza wa Lowassa

    Lizabooonii,Japo natofautiana kiitikadi na wewe,ila kipindi hiki upo katika ubora ambao hujawahi kuwa.
  10. dogojanja 87

    Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Safi sana kaka,unakaa mitaa gani nije kwenye hiyo grocery hapo jirani nikununulie bia mbili za zawadi kwa kumuadabisha mtu? ila nakuomba usimwambie kama ni wewe uliemshughulikia,we uchune tu atajua ni laana ya Mungu.Wanawake wakiwa na kipato kizuri wanajisahau na kuwa changamoto kwetu.
  11. dogojanja 87

    Mabilioni ya Uswisi: Zitto kuwataja wahusika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Mwembeyanga

    Zito anafanya biashara ya siasa,hayo majina ni mtaji wake,baada ya kupungukiwa fungu ameandaa mpango huo wa kutunisha mfuko wa saccos ya ACT.
  12. dogojanja 87

    Ukarimu wangu umeniponza

    Halafu ujenge sasa,ukiwa kwako unajiweka mbali na mambo kama haya,tatizo vijana wa mjini mnaona raha kuishi sinza na mwenge na kumiliki magari
  13. dogojanja 87

    Ukarimu wangu umeniponza

    bora shari kamili kuliko nusu shari,watafune wote mke na mdogo mtu.
  14. dogojanja 87

    Utani wa maofisini hasa kwenye taasisi, aibu nimeona mimi

    thread za kutishana hizi na kunyimana amani,bora nikalale nimfaidi my wife wangu
Back
Top Bottom