Recent content by doforlove87

  1. doforlove87

    Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Kabisa yan. Afu nyie ndo Mnaongoza kunywa maji. Tena mnayaomba wakat tendo Linaendelea Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  2. doforlove87

    Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Inbox Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  3. doforlove87

    Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Nitafute nikujib private Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  4. doforlove87

    Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Sio wote wanaokunywa. Mbona hata mwanamke Anakunywa sana maji. Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  5. doforlove87

    Huyu kaka ananifanya nifall in Love

    Nitachagua wangu na mimi
  6. doforlove87

    Huyu kaka ananifanya nifall in Love

    Hivi kumbe mapenzi ya Jf nayo yananoga eeee Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  7. doforlove87

    Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

    Wala tatizo sio kulinganisha Matokeo au CV za Elimu. Tatizo mtoa taarifa amedanganya. Katafuta tuu jina ambalo linaendana na muhusika.
  8. doforlove87

    Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

    Mwaka wa matokeo ya CSEE Hayaendani na CV yake. Hapo hujanidanganya. Japo na mm sikubaliani nae
  9. doforlove87

    Tushare game za android

    Mmetaja games nyingi ila game moja na nzuri hamjalitaja. Tafuta game la Max payne. Ninzur la Action ila linahitaj utulivu kukamilisha mishion zako
  10. doforlove87

    Hili ni jengo lipo Tanzania Nisaidieni ni office ya nini na ni mkoa gani

    Nashukuru kwa majibu mazur. Nikweli nilikua sifaham wakubwa
  11. doforlove87

    Hili ni jengo lipo Tanzania Nisaidieni ni office ya nini na ni mkoa gani

    Hili ni jengo lipo Tanzania Nisaidieni ni office ya nini na ni mkoa gani
  12. doforlove87

    Taasisi yataka Lowassa apitishwe kugombea urais

    Si hadi agombee sasa
  13. doforlove87

    Uganda UMEME ESCROW ACCOUNT Fedha zatoweka

    Sasa waafrika tumegeuzwa kitoweo na haya makampuni bubu
  14. doforlove87

    Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    My OUTLOOKs" * * * * * * * * * * "20/Sept/2014" WAANDISHI vs POLISI TZ. *Jana Nimeangalia Taarifa Ya Habari Na Nikaguswa Sana Na Madai Ya Waandishi Kupigwa Na Polisi. Sote Tumeona Viongozi Wa Waandishi Walivyolalamika Na Kuongea Kwa Hisia Kuhusu Tukio Hilo. *Matatzo Kama Haya Yamejitokeza Kwa...
  15. doforlove87

    Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    My OUTLOOKs" * * * * * * * * * * "20/Sept/2014" WAANDISHI vs POLISI TZ. *Jana Nimeangalia Taarifa Ya Habari Na Nikaguswa Sana Na Madai Ya Waandishi Kupigwa Na Polisi. Sote Tumeona Viongozi Wa Waandishi Walivyolalamika Na Kuongea Kwa Hisia Kuhusu Tukio Hilo. *Matatzo Kama Haya...
Back
Top Bottom