Recent content by DODOSO REFU

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kunani kcmc baraza la wanafunzi lavunjika.

    Lilikuwa ni tukio la kusikitisha na lenye kutia shaka kwani mkutano ulianza vizuri na ulionekana kama vile wenye lengo la kuwafunua wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuhusu mambo ya kcmc.raisi wa chuo aliongea mambo mengi na mara akatoa muda kwa ajili ya maoni na maswali na hapo ndipo balaa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mkopo mwaka wa kwanza kcmc.

    Naomba kuuliza waungwa hivi kcmc wanaingiza lini boom kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza maana hali ishaanza kuwa tete????
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa kcmc msaada

    Habari wana jf.Naomba anayefahamu ada ya MEDICAL DOCTOR na BSC IN HEALTH LABORATORY kwa mwaka anijuze.Ahsanteni.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimezaa naye kaniacha naomba ushauri.

    Thanx.Nitazingatia ushauri wako ila sizani kama atakubali kwani nilikaa naye jana nikamuuliza anataka mtoto awe na future gani akanijibu bora mtoto akae kwao wakati yeye yupo chuo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimezaa naye kaniacha naomba ushauri.

    Ilikuwa kama utani mwaka 2005 nilipojikuta nipo ktk mahusiano.Hakika nilimpenda sana huyu msichana,alipata mimba mwaka 2007 na 2008 alijifungua baby boy.Muda wote huo alikuwa akiishi kwao na mtoto alipozaliwa waliishi naye nami nikitoa msaada unaotakiwa.Mwaka jana mama watoto wangu alienda chuo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Haya sasa

    It has been a while now tangu tulipokuwa na kihoro cha kutaka kujua tcu na heslb kuna nini.Mengi yamesemwa na mengi yameandikwa hatimaye kila kitu kipo wazi wenye presha zimeshuka ila naamini wengine bado.OMBI LANGU SASA TWENDE CHUO KUSOMA NA C KUIGA MAMBO UTAPOTEA.Ndugu zangu wale ambao mambo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wenu wadau!

    Pole kaka.Sina uhakika uko pande gani ila kama uko karibu na chuo u nid to go there na kama bado chenga fika pia tcu maana muda umeenda usije kosa chuo kaka.GIVE FEEDBACK THEN.
  8. D

    JamiiForums Tanzania mikopo mwaka huu haina ubabaishaji

    Wat i think we nid to b sirias kama huna taarifa yenye uhakika kaa kimya maana sisi tunataka taarifa makini zenye kutusaidia.Sio ilimradi upost demu wako aone.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mpya kcmc soma!

    Time is running fast. Naomba apige namba niliyotoa hapo juu ya admission kcmc awaulize kulikoni. Fanya fasta alafu nipe ripoti hapa.thanks
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mpya kcmc soma!

    No guys the names r there sijakurupuka nimekuwa nikiwasiliana na tcu na kcmc tangu last wiki,ni kweli kuna nafasi za maombi mapya ila log in kwenye web ya chuo angalia selected undegraduate for direct entry 2012/2013 ndani utacheki kwenye kozi yako na utakuta majina yameongezeka.PIGA 0272753616...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mpya kcmc soma!

    Hatimaye chuo cha KCMC kimeongeza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga hapo baada ya awali majina hayo kutokuwepo.Kutazama jina lako log in kwenye web ya chuo ujionee.Ahsanteni tumsubiri heslb.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kcmc soma..

    Habari wana jf.Naamini kuna watu wamechaguliwa kcmc ila wakiangalia kwenye web ya chuo majina yao hawayaoni nami ni mmoja wao nilipowapigia simu tcu kujua kulikoni wakaniambia wameshawapa majina kcmc hivyo niwaulize kcmc,nami nikawapigia kcmc wakanijibu kuwa wangeeka mengine ijumaa...
Back
Top Bottom