Naomba Msaada wenu wadau! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Msaada wenu wadau!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ben Msele, Sep 18, 2012.

 1. B

  Ben Msele Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee! Kwanza nianze kusema kwamba kwa sa iv stres zote sjui za tcu na heslb zmenexpire 7bu 2meshazoea
  Wadau naomba kujua kuwa chuo hik lnstitute of Adult Education knafungua lin kwa frst year na Majina ya waliochaguliwa mwaka huu degree holders yapo wap? 7bu me nmechaguliwa huko na tcu af sjakiomba ata ukiingia webste ya chuo hamna taarfa za watu wa bachelor yaan npo gizan!
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Vumilia watayapost tu kwenye website yao muda bado upo..au kama vipi waibukie chuoni ukapate more info
   
 3. D

  DODOSO REFU Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kaka.Sina uhakika uko pande gani ila kama uko karibu na chuo u nid to go there na kama bado chenga fika pia tcu maana muda umeenda usije kosa chuo kaka.GIVE FEEDBACK THEN.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kiko nchi gan hcho chuo mkuu?
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  acha kejeli wewe!!
   
Loading...