Jamani tuna misikiti na makanisa,Hayamambo yanatoka wapi?
Tumuombee tukiwa kwenye Ibada.
Kikulacho kinguoni mwako,Swaala la mhe.LISU linahitaji umakini.
Kumbuka aliyejuu kwa maslai yake huwa apendi mwingine awe kama yeye.
Chadema inamdudu anayependa kula wadudu wengine.
kuhusu
Kuhusu mchepuko kwa mke, kunamambo makuu matatu
(1)Mwanamke au mke anaweza kufanya umalaya kwa shida
(2)Mwanamke au mke anaweza kufanya umalaya kwa tabia yake
(3)Mwanamke au mke anaweza kufanya umalaya kwa Kulipiza au kumaliza nye....
Kwakweli swaala la ndoa miaka hii ni mtihani mkubwa,lakini mtuhumiwa mkubwa ni mwanaume.
Baadhi ya wanaume hawapendi kuheshimu wake zao.Hapo ndipo panapoanzia migogoro yandoa-
Utakuta mwanamke anaanza kukuchukia.
Mwanamke akichukia na yeye ataanza dharau,mwisho kila mtu atapata mchepuko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.