Wanajamii mimi ni kijana niliemaliza chuo na ctaki kuajiri ila nataka kuwa na biashara yangu mwenyew na biashara ninayopenda kuifanya ni kufuga na kuuza kuku pamoja na mayai nilikuwa naomba ushauri kwa m2 mwenywe uzoefi na biashara hio je mtaji wake ni kiac gan na matayarisho yake yakoje...
Twende twende sura imekushuka kama umetoka kuamka asubuhi twende mweuc mpaka mtoto anacnzia akijua ucku umefika twende macho yamekutoka pima kama mjuc kabanwa na door
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.