Recent content by Dodoma leo

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia nyingine ni za ajabu sana

    Mpe condition bi mkubwa kuwa mkae naye ninyi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanick Bangala muda wowote anatua Msimbazi

    Umeitoa kwangu... Kwani vitu vingapi unavijulia humu jukwaani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanick Bangala muda wowote anatua Msimbazi

    Ml 270?? Ya magazetini... Yanga hawajalipwa pesa hoy...iyo ilikuwa media manipulation ndo maana wakakubaliana kutozungumzia Hasa Kwa feisal..
  4. D

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

    Hyo nadhani alikuwa patron tu..au mwl wa madrasa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Leta hyo Sheria acha ushabiki maandaz bila document...wabunge wenyewe wanaweza rud kwenye utumish wao pale wakimaliza wakitaka..
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Hakuna Sheria ya dizaini hyo... Mfanyakaz yeyote akiteuliwa anashika hyo nafasi na akitenguliwa Anarud kwenye utumishi wake otherwise akatae au astaafishwe Kwa manufaa ya umma na rais.. Wale wa cwt walikataa Kwa Sababu za msingi kabsa..wangekuja kutenguliwa wangerudi kushika chaki lakini sio...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

    Hp chama Langu tumefeli..
  8. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kufanya kazi na Mtu anayekaribia kustaafu kwa heshima

    Hta zile za perdiem hataki??
  9. D

    JamiiForums Tanzania Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

    Hata hivyoo rais wap ni Kama malkia tu waingerez. Power kubwaa IPO Kwa Majaliwa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwenyekiti wa Kitongoji ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka Msichana wa miaka 13

    Dar wajanja wengi Halfu binti wa dar kupata mimba ni ngumu sana...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Tatizo fikra Zako zinawaza kuajiriwa tu.. focus ya elimu ya chuo ni kukujenga kifikra. Ndo maana utakuta wahindi au waarabu wanasomesha watoto wao hadi university Kwa lengo la kurudi kusimamia biashar Zao..
  12. D

    JamiiForums Tanzania Afrika kuandika tena historia ya mrithi wa kiti kuangushwa na upinzani baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufariki akiwa madarakani?

    Thu Thubutu huku tz watu wanadegree za uoga na unafiki Hilo haliwez tokea
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Mwananchi inafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa?

    Hujui yanga ni last born wa taifa
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Big No.. elimu haijawah kushuka value yakeee.. atasoma degree na akimaliza anaweza kuwa hata fundi cherehani... First apate elimu kwanza
Back
Top Bottom