Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,797
Siasa huwezi kufanya siasa ulafu uwache bahati mbaya au nzuri ndio iweze ku determine matokeo. Unatakiwa to understand the following , which are basic factors to do well planned and scripted political events for successfully outcome.Ndugu Kalamu1, that's one side of your argument/observation
Lakini on the other side of the coin, wengine waweza kusema tofauti kabisa na ndiko niliko mimi...
Mfano, mimi naamini kuwa CCM inadhibitika kwa kigezo cha MAJIRA na NYAKATI...
Kwamba, ni kweli kabisa kuwa, wakati mwingine AKILI na UWEZO wa mbinu za kawaida za mwanadamu hushindwa kudhibiti na kulitawala jambo fulani...
Lakini wapo waamuzi na wadhibiti wa asili wa mambo ambao ni MAJIRA (seasons) na NYAKATI (times)....
Kwamba yakifika majira na nyakati za kitu/jambo/mtu/hali fulani kufikia UKOMO wake, hakuna kinachoweza kuuzuia mwisho wa mtu/kitu/jambo/hali hiyo....
Sasa swali la kujiuliza ni hili, hatudhani kuwa majira na nyakati zimekwisha kufika kwa siasa za ki - CCM katika nchi hii kufikia ukomo wake...?
Je, ni kweli hatuzioni na kuzitambua dalili au viashiria vya jambo hili kutokea haraka na upesi sana....?
Mimi naona yote aisee...!!
Kuna wengine wanasema hakuna chama cha kukipokea CCM kuongoza nchi hii...
Lakini hawa wanashindwa kutambua jambo moja, kuwa huu ni mtazamo na ni fikra za kibinadamu tu ambazo siku zote zina mipaka yake...
Hata kama hakuna chama kingine kuchukua dhamana ya kuongoza nchi hii (japo huu ni uongo tu), bado nature inaweza kuamua vinginevyo kwa sababu watu wa nchi hii wanaweza kujitawala hata bila ya uwepo wa chama cha siasa chochote kile..!!
A common political culture by no means suggests that all Tanzanians think alike. Some are conservative and tend to vote CCM.
Some are liberal and tend to vote Chadema/ opposition . Some have more negative attitudes toward public officials than do others.
These attitudes determine how Tanzanians participate, whom they vote for, and what political parties they support. Many factors — including family, gender, religion, ethnicity, and region — all contribute to Tanzanians political attitudes and behavior.
Despite family disagreements and generation gaps, children tend to grow up and vote the way their parents do. Families are generally the first, and often the most enduring, influence on young people's developing political opinions.
As people grow older, other influences crisscross the family, and naturally their attitudes tend to diverge from those of their parents. However, the influence still remains. Logically, the more politically active your family, the more likely you are to hold the same beliefs.