Ndoa ni makubaliano kati yako na rafiki yako au mpenzi wako. Mfano mzuri ni kwa Adam na Hawa sidhani kama walienda kanisani au msikitini kufunga ndoa ila mungu tu kuwawakutanisha pamoja ni tayari walishakua wamekubaliana kuishi mpaka kufa pamoja
Hii ndio point. Nachoamini mimi na Mimi ni musilam ila message kutoka kwa mitume na manabii ni moja tu ni kumtangaza na kumuabudu mungu kuwa ni mmoja na kaumba kila kitu haya mambo mengine ni mambo yetu sisi tu tumeyatengeneza
Yote tisa ila katudanganya kuhusiana na maswala ya kununua private jet for $5million.. Sidhani kama anaweza Ku afford it maana ni zaidi ya bilioni 11 za kitanzania
Tecno Camon CX, nimeitumia kidogo bado kama mpya Nahitaji 150,000/= sababu nina shida na hiyo hela. Nipo dsm 0712220207 kwa mawasiloano zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza Simu Tecno CX. Bei price ni 170,000. Mawasiliano zaidi 0712220207 au 0767173885. Baadhi ya Specification zake ni Ram:2GB Internal Storage:16GB Camera: 16 Mega pixie mbele na nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana Jamii.. Nauza simu Yangu ila nayiopenda sana Tecno Camon CX. Bei ni 170,000. Karibuni. Mawasiliano zaidi 0712220207 au 0767173885
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.