Recent content by Dodido

  1. Dodido

    Toyota vidz inauzwa 4.7

    Cc ngapi.. details zake plz Poxino
  2. Dodido

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Bro u made my day... ila huyu dada nahisi atakuw amesoma kwa cstm ya cambrige... c bure maana hiyo speed aliyotuonesha hata ukisoma kila mwaka kwa kuruka darasa moja still huwez fka masters in 18 yrs hata kama ukianza kusoma ukiwa na mwaka m1...
  3. Dodido

    Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

    android OS v 4.2.2 kweny Galaxy S3 inaweza kuwa upgraded kwenda kwny versions nyingine?? If so how?? Msaada ndugu..
  4. Dodido

    Nauza huawei ascend y300

    Dami hii cyo za promo za tigo brother tatizo labda ni sababu nimechukua dukani SAPNA Kama unalipata hilo duka lipo samora
  5. Dodido

    Nauza huawei ascend y300

    Yaaap alaf nmeshakusoma boy... umetisha mkuu keep on
  6. Dodido

    Nauza huawei ascend y300

    Nipo Ukonga banana kaka any tym i can be at anywhere u want me to be...
  7. Dodido

    Nauza huawei ascend y300

    Dukani ni Tsh. 290 000 kijana kuwa makini..
  8. Dodido

    Nauza huawei ascend y300

    Cyo za promotion za tigo inarun multiple carriers..
  9. Dodido

    Nauza huawei ascend y300

    Nauza huawei ascend y300 ipo in good condition haina mikwaruzo inamda wa miez miwili. Bei ni 160 tu.
  10. Dodido

    Tunakokwenda - Wanasayansi wafaulu kuwasiliana kwa matumizi ya telephathy

    Lakin side effects lazim ziwe nyingi 🙅
  11. Dodido

    Uelewe ugonjwa wa Ebola

    Ugonjwa wa Ebola umekuwa chanzo cha wasiwasi na uvumi. Vipi mtu huweza kuepuka kuambukizwa na ugonjwa huo? Na hatua gani aichukue akikutana na mgonjwa? DW imetafuta majibu ya maswali haya na mengine unayoweza kujiuliza. Je, ni zipi dalili za kwanza ambazo mtu anaweza kugundua kwamba...
  12. Dodido

    Sabena coach iliyochinja 17 hii hapa!

    Picha za ajali hiyo
Back
Top Bottom