Recent content by Doctorbeat

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Pole sana. Hujui usemalo. Nani MUUAJI ? Aliyekomba mboga na kumwagia maji jiko la mkaa AU aliyesusa kupika ? Get deep into this issue plz.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Kaka MASLAHI kwanza. Hawakusoma ili kuja kuangalia CINEMA za wanaSIASA kugawana pesa na kumiliki MAHEKALU MBEZI NA MASAKI. Poleeeeee
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msitu wa pande

    Big up ! Sio kwa wasema kweli...... Ooohhh wajomba wa Mahenge, RIP, we love you. Dr Ulimboka, Get Well Soon. Mungu atawaadhibu waliohusika kwa vitebdo na hata kwa hoja, waraadhibiwa hapa Duniani na mbinguni. Wanafikiri Madaraka ndio kila kitu, wajiulize waliowatangulia mbele za haki, hawajaacha...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa tanzania ni hatari kwa usalama wa nchi

    Msamehe hajui asemalo. Hao ni ma- Mr Yes wa serikali tawala kama si chama tawala.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa tanzania ni hatari kwa usalama wa nchi

    Pole mr Zero, huna ujualo.
  6. D

    JamiiForums Tanzania SERIKALI dawa ya MIGOMO hii hapa!

    For Sure.
  7. D

    JamiiForums Tanzania wageni ni zaidi ya wa Tz!

    Kesi ya nyani kapelekewa Timbuli. Unategemea nini mkuu ?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ujio wa madaktar wapya fursa mpya kwa WATANZANIA

    Plan B = Zero result
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ujio wa madaktar wapya fursa mpya kwa WATANZANIA

    PLAN B= zero
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Mbeya ni vichwa sana?

    Mbeya IJITENGE la sivyo mtaisha. Au tupate akina SUGU mbeya yote. Kitaeleweka !
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Ze komedy ilinunuliwa kupitia DALALI Manji wakanunuliwa na TBC. Mmesahau TBC inamwakilisha nani ? Poleni waTZ wenzangu. Mie naangalia ITVVVVVVVVVV.....DAIMA
  12. D

    JamiiForums Tanzania "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Magazeti na radio acheni kutumia neno " Dr. Ulimboka kapigwa na watu wasiojulikana". Inatuuma saaaanaaaa kusikia tamko hilo linavyopotosha. MNATUMIKA ??
  13. D

    JamiiForums Tanzania "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    CHADEMA mpo ?? Haya MADUDU yanayotokea kwa mpinzani wako naomba yawe njia rahisi ya ninyi kuzoa kura 2015. Mwakyembe's NOW Dr. Ulimboka PLUS ufisadi, kagoda, EPA , meremeta, report ya CAG 2012, nk nk nk haviwatoshi tu ?
  14. D

    JamiiForums Tanzania "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Naumia sana nikisikia " dr. Ulimboka kapigwa na watu wasiojulikana". Jamani hata kama watanzania ni wajinga sana, lakini si kwa kiasi hiki. Wakuu acheni kutubeza. Aliyefanya haya anajulikana. Mnatupeleka wapi Watanzania ? Plz plz plz hatutaki siasa za mitindo hii. Tunataka ukweli!
  15. D

    JamiiForums Tanzania "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Yeah man, jibu liko wazi....hahahaaaaa. I just pray for God to intervane.
Back
Top Bottom