Recent content by Docter Jine

  1. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Meli ya mizigo ya Israel yashambuliwa katika Bahari ya Hindi na silaha isiyojulikana

    Apo utabaki unajaza mwenyewe
  2. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

    Kesi ni kwamba ,,UTURUKI ilitaka kusambaratisha ata uhusiano huo ,lkn wakatishiwa VIKWAZO kingine ni kwamba uturuki anauwezo wa kufanya chochote na Asizingatiwe coz wakimkele Ataondoa ile kambi ya NATO iliyopo ktk ardhi ya Turkey,,fuatilieni vyema
  3. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

    Hujui lolote mkuu ,,kesi ni kwamba Kambi kubwa ya NATO ipo Turkey Sasa nazani jibu umelipata,,. Nato wana mng'ang'ania Turkey kwa sababu Upinzani wao mkubwa upo ASIA na turkey wapo katkt yao ,,.,......EMBU JIJIBU MI NAISHIA HAPA
  4. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Hizbullah vx Israel

    Mambo ni moto mzee
  5. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Hizbullah vx Israel

    Hawa jamaa ni hatari aisee YANI wameweza kupitisha drone juu ya KAMBI zote za jishi la IZRAEL bila ya kushtuka hata mmoja Aisee KUMBE I.T ni FANI ya kukimbilia mzee
  6. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Hizbullah yatoa onyo kali kwa Israil

    IZRAEL hamna kitu Embu fatilieni hiyo video wadau [emoji24][emoji24] Izrael amezalilishwa kinyama hana ham
  7. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yashutumiwa kwa wizi wa data za utengenezaji wa chanjo ya Corona

    Mkuu NIMRI ni kitu gani?
  8. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wawili wakamatwa na Polisi kwa kuichapa sanamu inayofanana na sura ya Museveni

    Unaposea Afrika unakosea mkuu ,kwa hayo mbn URUSI yanatokea Belarusi n.k we sema viongozi kama hao. sio Wa Afrika yote
  9. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Iran yavunja mkataba wa nyuklia kwa kurutubisha Uranium licha ya kuonywa

    Poleni sana walimwengu
  10. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliuawa kwa bunduki ya otomatiki

    you know who writes the swarm So sorry but realize that there is education and intelligence now I think it owns Education but you have no Mind big brother
  11. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliuawa kwa bunduki ya otomatiki

    Muirani sio mwarabu acha kukurupuka isiyo yajua, ICC inajua na inatambua kisasi hiyo ndio mahakama ya DUNIA wewe usie jua chochote kaa kmy ,Mr.
  12. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliuawa kwa bunduki ya otomatiki

    UTAFITI Unasema kuliko kufa msomi mmoja1/= bora wafe wajinga 1000/= TUSUBILI kisasi Maana hili ni kosa kubwa
  13. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

    IRANI sio wa kulaumiwa! Alitoa tahadhar KITAMBO maana alishtukia huo mpango mapema BAADA YA KUFANYA UDUKUZI WA KIJESHI(hucking) Hilo likafichuliwa
  14. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Israel yajiandaa kuishambulia Iran muda wowote kuanzia leo

    Vimba upasuke bado hiyoooooo Muislam free USA Christ [emoji777]in IRANI or SOMALIA
  15. Docter Jine

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Iran ya COVID-19 inaweza kukabiliana na 'kirusi cha Uingereza'

    Hayo ni matamshi ya Billgets ya awali na ya wakati huu kwenye Machano yaoo
Back
Top Bottom