Hizbullah yatoa onyo kali kwa Israil

Hizbullah yatoa onyo kali kwa Israil

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
8,633
Reaction score
16,601
Nasrallah aionya Israel: "Acheni kucheza na moto

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka kwa Hizbullah.

Sayyid Hassan Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya Televisheni Jumanne usiku kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi makamanda wa ngazi za juu wa Hizbullah akiwemo Shahidi Imad Mughniyeh ambaye aliuawa Syria mnamo Februari 2008.

Sayyid Nasrallah amesema Hizbullah haitaki makabiliano ya kijeshi lakini itapambana kwa nguvu zaidi kuliko miaka ya nyuma iwapo italazimishwa kuingia vitani. Katibu Mkuu wa Hizbullah amesema utawala haramu wa Israel katu haujawahi kufungamana na sheria za kimataifa na huharibu miji na kuua raia katika vita vyake vyote.

Katika hotuba yake, Katibu Mkuu wa Hizbullah amepongeza 'hatua chanya' iliyochukuliwa na Marekani ya kuacha kuunga mkono hujuma ya Saudia dhidi ya Yemen. Sayyid Nasrallah amesema uamuzi huo umetokana na kusimama kidete Wayemeni.

Katika sehemu nyingine ya hotuba yake Kiongozi wa Hizbullah amesema leo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni dola lenye nguvu na uwezo mkubwa katika eneo la Asia Magharibi. Amesema Iran imeweza kusimama kidete mbele ya mashinikizo na vikwazo vya Marekani na waitifaki wake.
 
Baada ya Suleiman, atakayefuata katika hiyo list ni huyu Nusrallah. Hezbollah ni mdomo wa Iran wa kupenyezea hoja zake. Ni suala la muda tu, atafyetuliwa muda si mrefu.
 
Israel ni top technological centre ya middle east ...... But Iran ni top super power ya middle east
 
IZRAEL hamna kitu Embu fatilieni hiyo video wadau [emoji24][emoji24] Izrael amezalilishwa kinyama hana ham
Screenshot_20210220-071624.jpg
Screenshot_20210220-071633.jpg
 
Nasrallah aionya Israel: "Acheni kucheza na moto

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka kwa Hizbullah.

Sayyid Hassan Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya Televisheni Jumanne usiku kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi makamanda wa ngazi za juu wa Hizbullah akiwemo Shahidi Imad Mughniyeh ambaye aliuawa Syria mnamo Februari 2008.

Sayyid Nasrallah amesema Hizbullah haitaki makabiliano ya kijeshi lakini itapambana kwa nguvu zaidi kuliko miaka ya nyuma iwapo italazimishwa kuingia vitani. Katibu Mkuu wa Hizbullah amesema utawala haramu wa Israel katu haujawahi kufungamana na sheria za kimataifa na huharibu miji na kuua raia katika vita vyake vyote.

Katika hotuba yake, Katibu Mkuu wa Hizbullah amepongeza 'hatua chanya' iliyochukuliwa na Marekani ya kuacha kuunga mkono hujuma ya Saudia dhidi ya Yemen. Sayyid Nasrallah amesema uamuzi huo umetokana na kusimama kidete Wayemeni.

Katika sehemu nyingine ya hotuba yake Kiongozi wa Hizbullah amesema leo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni dola lenye nguvu na uwezo mkubwa katika eneo la Asia Magharibi. Amesema Iran imeweza kusimama kidete mbele ya mashinikizo na vikwazo vya Marekani na waitifaki wake.
Hawa ni mbwa wasio na meno last week wametembezewa kichapo cha maana
 
Viazi tu hao Israel ipo hapo miaka kibao kutwa kupiga mikwala
 
Back
Top Bottom