Recent content by Dnmunisi

  1. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa database administration

    Poleni na majukumu wakuu Mimi nina na changamoto inanitatiza sana, ninasomea maswala ya information science, natamani sana kujua kuhusu database administration, ila pa kuanzia sijui na sijui ninatakiwa nisome nini na nini ili niweze kuwa database administrator Mwenye ujuzi tafadhali anisaidie
  2. Dnmunisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumuota mtu mara kwa mara ina maana gani?

    Case yangu na yako zinaendana... Ni msichana mwenzangu kama nilivyosema awali ni rafiki yangu na nilimpenda sana kitambo tulikua karibu sana muda wote lakini muda mrefu sasa umepita ukaribu ni kama umeisha ivii.... Na kwenye ndoto namuota labda tumekaa tuu tunapiga stori kunasiku nimeota...
  3. Dnmunisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumuota mtu mara kwa mara ina maana gani?

    Wakuu mimi nina rafiki yangu tulikuaga mabest sana advance lakini tulivyorudi mtaani kila mtu na mishe zake hakuna anayemtafuta mwenzake imetokea tupo nae chuo kimoja sema kozi tofauti ila ukaribu wetu sio sanaa tena kama kipindi kile tukiwa advance. Sasa inanitokea mara nyingi ninakuwa namuota...
  4. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

    Shukrani sana ndugu
  5. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

    Nina miaka 20 Sina shida ya kuona mbali au karibu ninaona kila kitu clearly mkuu..... Ila hivi karibuni kuna wakati naona giza alafu napata maumivu makali ndani ya macho na machozi
  6. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

    Shukrani sana kwa ushauri
  7. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

    Randomly... Yanawasha yanapoa kidogo alafu yanaanza tena
  8. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

    Yote mawili
  9. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

    Habari wana Jf Jamani mimi ninasumbuliwa na tatizo la macho tangu nikiwa na miaka saba macho yananiwasha sana muda wote mchana na usiku pia ila usiku ndio sana na kadri ninavyokua ndo naona yanazidi kuwasha na kutoa machozi na yana maumivu makali yanachoma choma. Nimeenda hospitali nikapewa...
  10. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya Vyuo vya Udaktari naomba anisaidie

    Ndugu yangu wewe unaongea hivi kwa sababu hujui madogo kipindi hiki wanapitia nini Kwa miaka ya siku hizi kila mahali ni connection ukiweka nguvu zako mwenyewe kwa kila kitu hutoboi
  11. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Usiwe wa kwanza kuacha kusifia

    Jamani sheria zingine ni uonevu tu. Sasa apo kama yeye asingekua wa kwanza kuacha kusifia nani angekua wa kwanza [emoji2][emoji2][emoji2]
  12. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu kozi ya HIS

    Ni matumaini yangu mu wazima na mnaendelea vema na majukumu ya hapa na pale Kuna hii kozi inayoitwa health information system (HIS) inatolewa UDOM ninaomba kujua inahusika na nini na pia mtu anaweza akafanyia wapi kazi na soko lake apa Tanzania lipoje? Shukrani sana
Back
Top Bottom