Escotter20
JF-Expert Member
- Jul 20, 2020
- 505
- 970
Shikamoni wakubwa zangu,
Mini mdogo wenu baada ya kukosa chuo kozi ya udaktari katika mwaka wa masomo wa 2020/2021, bado sijakata tamaa ya ndoto yangu ya kuhudumia taifa kama daktari. Ombi langu kwenu ni kuomba connection mapema kutoka kwenu.
Sababu kuna wenzangu walitumia njia ya connection (bila shaka ninaeleweka) na sasa wanaendelea na masomo. Vigezo vya kusoma udaktari ninavyo ila ushindani ni Changamoto.
Natanguliza shukrani kwenu.