Dnmunisi
Member
- Nov 11, 2020
- 18
- 16
Ni matumaini yangu mu wazima na mnaendelea vema na majukumu ya hapa na pale
Kuna hii kozi inayoitwa health information system (HIS) inatolewa UDOM ninaomba kujua inahusika na nini na pia mtu anaweza akafanyia wapi kazi na soko lake apa Tanzania lipoje?
Shukrani sana