Recent content by dmoney

  1. D

    Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Duuh, huu utafiti kiboko, mimi naomba kwanza niulize ni wanajamvi wangapi humu mama zao ni magolikipa, then ukishajua mama yako ni golikipa tuambie baba anatatizo gani hadi ameoa golikipa. Kuna jamaa yangu soja wa JWTZ nimemuonyesha hii thread, faster kajibu kuwa MWANAMKE BORA SI...
  2. D

    Rostam, tukutane mahakamani

    Kubenea hapendi kabisa kukumbuka enzi hizi siku hizi
  3. D

    Kubadili majina baada ya kuolewa

    Uislam Umekataza kubadili jina la baba yako na kutumia la Mume. Baba atabaki baba
  4. D

    Upepo umeshageuka, Vyombo vyote vya habari si huru tena

    Kura zishahesabiwa na Jana Matokeo yametangazwa. 69% kwa nini wasianze kujipendekeza kwa Rais Mtarajiwa? hata wewe ungebadili upepo
  5. D

    Suala la wakimbizi wa kiarabu na usambaaji wa Uislamu Ulaya.

    Nchi za Magharibi ndio zilienda kuharibu Syria. Ni vizuri sana waende Huko Ulaya na Marekani ili Wazungu waone karaha na mwishowe waache kuchochea Fujo. Hata Congo na Nchi zingine pia wangeenda huko
  6. D

    Kwa hili CCM mmezidiwa ujanja na CHADEMA/UKAWA

    Mjanja atajulikana Baada ya October 25 tuweke akiba ya Maneno.
  7. D

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Acha Fitna Misibani.
  8. D

    Tukicheka na nyani taifa litaangamia Vyombo vya Dola tusaidieni

    Usiwe na Shaka ndugu yangu Mgombea mdini hatopewa Nchi.
  9. D

    Hapana, hapana UKAWA mnaipeleka nchi pabaya

    Kabla ya Kufanyika Uchaguzi inatakiwa Mipaka yote ya Nchi ifungwe na Viongozi wakuu wote wa kisiasa Hati zao za kusafiria zikusanywe ili kama kikinuka wote tuwe humu humu ndani sio kukimbilia Nairobi kwenye Press conference kutangaza Mapambano kama 2001 pale Maalim Seif akiwa DSM huku akisema...
  10. D

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Tukemee Siasa kwenye Nyumba za Ibada pamoja na kushirikisha Viongozi wa Dini kwenye Kampeni. Mataifa yaliyosambaratika yalianza taratibu kupuuza misingi ya namna hii matokeo yake mataifa yakaingia kwenye Vurugu na kusambaratika mpaka leo. Iwe Lowassa au Magufuli au Mgombea yeyote tusishabikie...
  11. D

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Mwaka huu Viongozi wa Kikristo imekuwa Ruksa kuonekana wanafanya Kampeni
  12. D

    Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Magufuli ana uhakika wa Kura ya Dr. Slaa na Lipumba. hahahahahahah Shikamoo siasa 24 hours kwenye Siasa ni zaidi ya Karne anything can happen
  13. D

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    2010 kuna Genge fulani lilijaribu kutuaminisha kuwa Slaa ni bora kuliko Jakaya leo wanakikimbia kikaragosi chao na Uzushi wa wa kukamata Container la 40 Feet Tunduma lenye kura za Wizi. Leo hii Mrema anaonekana Bora. Tuliwahi kusema Slaa kukubali kwake Kuachia Jimbo la Karatu na kuja kupambana...
  14. D

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    Hahahaha! Mamalaka ya Juu ndio Director wa Filamu inaitwa ' Siasa za Tanzania'. 1) Nguvu kubwa sana ilitumika kumchafua Minywele & co. wakidhani wanamkomoa Mamalaka ya Juu KUMBE WANAMSAIDIA Baada ya kupita Muda Behind the scene ndo watu wakajua ukweli. 2) Nguvu kubwa na Mikakati mingi...
Back
Top Bottom