Back to patronage system. Hii siyo Bahati mbaya kuna lengo wanalotaka kuachieve. HOJA ni ya msingi lengo la utaratibu siyo la msingi. AGAIN back to patronage system in a way.
Watanzania tuogope barabara kuliko ukimwi maana barabara zinaua kuliko ukimwi. Kule mwanza watu wa mazoezi walikufa barabarani tena huko mbeya watu wamekufa barabarani kwa kufanya mazoezi. Hivi serikali bado tu hawajashitukia hii trend. Open spaces zinajengwa maghorofa...duh
Mheshimiwa serikali iingize orodhaya vyakula vinavyojenga ubongo wa mtoto kabla ya kuzaliwa na baada ya kuzaliwa. Kila kanda iwekewe orodha ya vyakula hivyo kwenye sera kama vile ya Elimu na Mafunzo, chakula na lishe na sera nyingenezo zinazoendana na mambo haya. Lengo nikusaidia watanzania kula...
Utumishi wa umma si kwa ajili ya kuwa Tajiri ni kwa kutoa huduma kwa wanachi. Wewe umejua kusoma na kuandika kwa utumishi wa umma. Leo unaona waliokusomesha na kukutibu ukiumwa tangu mtoto mchanga mpaka leo kama wamepotea wakati bado unawahitaji. Fikiri up ya mawazo yako.. ila ungesema...
Nilmwuliza akasema msongo wa mawazo. Ikaniblock jumla. Ukweli ni kwamba kama hana mtoto lazima unaniblock au harudii tena. Hii ni shida. Ila huyo kaniuma kwakuwa nilitaka nimkabdhi funguo zangu za nyumbani.
Kwenye sheria ya ndoa tuonggeza kifungu kinachosema: ndoa hii Watoto watapimwa DNA au ndoa hii Watoto hawatapimwa DNA. Wnandoa waamue mapema cheti chanye kirai kipi watasain na kuchukua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.