[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf bhana et siwezi kuelewa,,,,,,,
Kama huna hela umepanga nyumba moja ina wapangaji kumi pambana na hali yako! Watoto wako wanasoma shule ya serikali ina wanafunzi 900 pambana na hali yako
Kuna watu wanaishi nyumba nzima na ina fensi...