Huyo hakupendi kaka.just move on mwanamke akikupenda kweli hawezi kupitisha siku bila kuwasiliana na wewe Tena baba wa mtoto wake
Kingine Kuna wale wanawake viburi wanaopenda mashindano na mwanaume hawataki kujishusha. Type za aina hii ni eat and run unapita kushoto, wa hivi ukimuoa...
Mkuu me nilinunua Radio LGCM5760 Watt 1100. Mwanzoni nilikuwa kama siielewi nilikuwa naiunganisha kwenye computer Kwa kutumia haya manyaya ya kichina nilikuwa naona inamziki wa kawaida Sana. But siku Computer yangu ilipokubali kuiunga hii radio Kwa Bluetooth hapo ndo nilipoanza kusikia mziki...
Final mechi 2 ndo Iko poa Ili kama ukifungwa tujue umefungwa kweli sio Kwa bahati mbaya. Maana unapewa nafasi ya kurekebisha makosa kama ulikosea mechi ya kwanza
The big John anatumia Zaidi ya miaka 20 kufanya utafiti ni wapi meli ya matajiri ilizama na shehena ya dhahabu. Kwa BAHATI mbaya inatokea kutokuelewana na rafiki yake ambaye Huwa anamkodishaga boti yake KWENYE harakati ya kuitafuta the royal merchant gold. Wakiwa Kwenye boti
katikati ya kisiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.