Recent content by DJkus

  1. DJkus

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Baadaye utajua hujui! Kwani umetumwa na nani? Aliyekutuma ndio kakupa hiyo taarifa? Unaandika bila kuchunguza mambo, na kuonyesha udhaifu na ufinyu wa upembuzi wa taarifa uliyopokea! Acha kulichafua kanisa na waumini wake kwa sababu za kuhisi! Halafu hilo jina mbona halifanani na wewe! WEWE...
  2. DJkus

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Ungelijua usingeuleta uzi huu humu! Maana taarifa yako haina ukweli, mchungaji wa Nyasubi hajawahi kwenda polisi kwa lolote kwa hizo tarehe zako ulizoziweka kwenye huu Uzi wako wa uongo, sema una agenda yako na sababu zako. Kama kweli unajua SDA ni taasisi kubwa na walengwa ni washiriki...
  3. DJkus

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Ingekuwa heri, kabla ya kuandika bandiko lako ukajiridhisha na mambo mengi kidogo ya hayo uliyoyaandika: 1. Ni kweli mchungaji alilala mahabusu? Kama ni kweli, basi uko sawa na kama ni uongo! Kwa nini unaleta taarifa kuihadaa umma. 2. Je ni kweli mchungaji na huyu unayemwita muumini wake...
  4. DJkus

    Matokeo Law School yafanyiwa ukarabati

    Vilaza LST ila vipanga vyuo watokavyo? Hebu fikiri kwa sauti....angalia hoja za wahanga hao na sio jibu la pamoja lisilo na msingi kwa malalamiko tajwa
  5. DJkus

    Matokeo Law School yafanyiwa ukarabati

    Hii shule ya Sheria imekuwa jinamizi....kwa nguvu ya umma hakuna lisilowezekana
  6. DJkus

    Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

    Huyu suka ana allergy na seat belt[emoji41]
  7. DJkus

    Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi, hawana nia njema na Taifa letu

    Kama mtu msomi wa ngazi hii unawaza hivi waleo walioishia form vi kwenda chini si balaa! Elimu zamani ilikuwa mkombozi, ila kwa uelewa huu wa mkuu huyu ninashaka kama kweli Elimu bado ni mkombozi
  8. DJkus

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Pole sana ndugu, tuna ombwe la uongozi, mbaya zaidi wanaiona hali na vifo vya watu ila hawajali! Huwa naangalia wakienda kuwazika wabunge na wengine wenye vyadhifa, ndipo napokumbuka machoni kama watu.. . ila mioyo yao ni bora Simba mwenye njaa[emoji706]
  9. DJkus

    TAKUKURU mkimaliza CHADEMA mgeukie na CCM

    Majambazi sugu
  10. DJkus

    TAKUKURU mkimaliza CHADEMA mgeukie na CCM

    Baada ya kwenda watoe ripoti zote ili tujue wapi ni wabadilifu au la na kwa kiwango gani
  11. DJkus

    COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    [emoji23][emoji23][emoji23] hawa jamaa hawajielewi, wakiwasifia wanakuwa kondoo, wakiwaponda wanawaita beberu, hawajiamini
  12. DJkus

    COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Vp kuhusu hao waliopimwa mipakani na kurudishwa sababu wako na Corona! Au wao sio waTz? Kila siku mipakani wanapatikana au nao wanatuhujumu?
  13. DJkus

    COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Taarifa zao ziko na ukakasi, mtu mzima huwezi danganwa kirahisi na maelelo ya Ummy, wanajificha kwenye shamba la mchicha bila kujua migongo yao iko nje! Waje na data, tuone hali ilivyokuwa mwanzo na sasa kwa nini kudanganyana umma! Kwa maslahi ya nani?
Back
Top Bottom