Recent content by djchami

  1. djchami

    JamiiForums Tanzania Jay Z amekuwa mwanamuziki wa kwanza bilionea

    Kwani Mungu wake akiwa Lucifer ndio awe juu ? Wewe unaemtumikia Mungu halisi ndio unatakiwa kuwa juu zaidi yake. Usituonyeshe Kuwa Lucifer ana nguvu kuliko Mungu wetu aliyeumba ulimwengu
  2. djchami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitabadilisha wanawake hadi nipate asiyeomba pesa kila siku

    Unadhani ndio itakua sababu ya kupata mwanamke asiyeomba pesa. kama vipi anza wewe kuwaomba, nawenyewe wanatoaga.
  3. djchami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka hana uwezo wa kutia mimba..... Shemeji anataka nimtie mimba.... (true story)

    Acha nae broo arafundua then itakua tabu sana ktk familia bora asaliti familia kuliko wewe kumsaliti kaka yako. Take care man !!
  4. djchami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke / loneliness

    kinachofanya mwanadamu kuwa lonely ni uvivu wa kufikiri tuu !!!
  5. djchami

    JamiiForums Tanzania Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

    http://ThePaidTask.com/?refcode=152059
  6. djchami

    JamiiForums Tanzania Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

    asante kwa kumsaidia huyu kijana
  7. djchami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naconfess

    Sasa huyo best wako hope ana mawasiliano yako na ulivyo post hii siameshaona sasa mbona unatuzuga bab
Back
Top Bottom