Recent content by dj1000

  1. D

    Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    sidhani kama kweli ulipiga simu vodacom kwasababu ili ujue vocha imetumika au bado au inatatizo lolote ni lizima Huwe na kadi number za vocha ambazo zinakuwa pale chini ya vocha na wew unasema kuwa milladhayo alitaja voucher number ukawa unaingiza je kadi number ya hiyo voucher ulitoa wapi mpk...
  2. D

    Mkataba wa kazi

    Habari! napenda kujua wanasheria kuhusu mkataba wa kazi, hivi kunasheria inasema kama mwajiri wako ajakupa mkataba mpya na bado unafanya kazi na anakutambua na anakulipa mshahara kila mwisho wa mwezi. Je, inamaanisha kuwa umerenew nae mkataba automatic baada ya mwezi mmoja kupita wa kukupa...
  3. D

    Msaada wenu wanasheria wa kimawazo na kisheria

    Habari zenu! Naitaji mawazo yenu, mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa Tanzania nilianza kazi mwaka jana kwenye mwezi wa saba nilipoanza kazi mwajiri alinipa form ya michango mafao PPF ili nijaze kwa hajili ya kuwekew hiyo michang yangu basi nikajaz kam inavyotakiwa na kuirudisha kwa...
  4. D

    Selcom paypoint na Max-Malipo ipi ina faida zaidi?

    Habar zenu wanajamii! napenda kuuliz tofauti kati maxmalipo na selcom ipo wapi? au na huduma gani inayopatikan kwny selcom n maxmalipo pamoja na bei zake.
  5. D

    Til ya tigo ya uwakala

    Hiyo til ni stand alone au ni kawaida?
  6. D

    Til ya tigo ya uwakala

    Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
  7. D

    Til ya tigo ya uwakala

    Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
  8. D

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Kwahiyo mkuu mtaji wa vipodoz unawez kuwa kam shilling ngp kw makadilio?
  9. D

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Habari wana JF, jamn napenda kuuliza ukitaka kufungua duka la biashara ya vipodozi kima cha chini kwa kuanzia inaweza kuanzia na shilingi ngapI? Na pia biashar ya chips ambazo ni standard unatakiw uwe na mtaji wa shilingp? Msaada wenu jamn!
  10. D

    Mwenge stend leo ni vunja bomoa ondoa

    Hahahahaha I like it jinsi unavyomjibu kwa hoja ndo naan watu maakaman wanashindw kesi kwa mambo madog kama hayo "kichw maji kumbe hajui kuw kichw kinamji asilimia 78%"
  11. D

    sakata la serikali na mawakala!!

    Hellow wana Jf napenda kuuliza hivi sakata la wizara ya kazi na ajira pamoja na wakala wa ajira limeishia wap? hakuna utelekezaji uliofanyika ata kidogo especially kwny haya makampun ya simu inamaan serikal imeshindwa kutekelez walichosem au ndo kutufny wananchi kam vifaranga vya kuku kwmba...
  12. D

    Serikali ya matamko

    Hivi karibuni wadauu nadhani mnakumbuka kuwa wazari wa kazi na ajira alitoa tamko kuhusu mawakala wanao waajiri watu especially kwenye sector ya mawasiliano na mwisho ulikuwa tarehe 28/2/2014, ila mpaka sasa sijaona utekelezaji wala tamko lolote au ufuatiliaji wa wizara ya kazi ndo kwanza hawa...
  13. D

    Msaada wenu wanasheria hii barua imekidhi vigezo??

    Inamaana hilo tamko la waziri wa kazi na ajira wao haliwahusu?
  14. D

    Erolink yamtunishia misuli Waziri Kabaka

    jana waliitisha kikao cha gafla na wafanyakazi kitu ambacho walichozungumza eti " wamewaajiri wafanyakazi then wakawauzia vodacom" inamanaa erolink inaziilisha kuwa inafanya biashara ya utumwa!!!
  15. D

    Msaada wenu wanasheria hii barua imekidhi vigezo??

    Mtakumbuka mwezi uliopita mnamo 27.01.2014 na kuendelea kulikuwa na mjadala mkali ulioshika hatamu kwenye vyombo vya habari, ambapo waziri wa kazi na ajira Mhe. Gaudensia Kabaka alitoa tamko la serikali na kuzitaka kampuni zinazofanya udalali wa kuajiri ikiwemo Erolink kusitisha zoezi hilo mara...
Back
Top Bottom