Recent content by DIZZO MTAWALA

  1. DIZZO MTAWALA

    CCM ndani ya kichaka cha dola

    CCM kwakuwa hakina uhalali wa kisiasa kimeamua kujificha nyuma ya dola ili kisipelekwe makumbusho, maana CCM haipo kwa umma kimebaki kwenye joho la udola. Ndio maana suala la bandari lilipoanza kilijifanya kuja kwa umma kikala za uso kikarudi haraka kwenye udola kupitia Jeshi la Polisi...
  2. DIZZO MTAWALA

    TFF inakwepaje lawama kwa aibu ya Kitayose?

    TIFUTIFU INAKWEPAJE LAWAMA KWA AIBU YA KITAYOSE Watu wengi wamelazimishwa kuipa LAWAMA kitayose kwangu mimi tifutifu inatakiwa iwambwe kabisaa. Kwanza kitengo cha biashara cha tifutifu kiliwezaje kuruhusu bidhaa yake ya Ligi kuu kupata aibu yaaani walijua lawama ni ya kitayose sio huku...
  3. DIZZO MTAWALA

    CCM tuwaamini kwa lipi?

    CCM kila ikifanya maamuzi yake inauhadaaa umma kuwa kutakuwa na mabadiliko kumbe washaiba. Walipoleta sera ya ubinafsishaji tuliwapinga kwann mnagawa Mali za umma kama sadaka matokeo yake viwanda vilikufa uchumi ukadorora wakatupachika majina mabaya kwamba tunatumika viko wapi viwanda kama...
  4. DIZZO MTAWALA

    Tatizo ni CCM. Niliandika haya baada ya Rais Samia kukabidhiwa nchi leo bandari imeenda

    Nimeona watu wakiona ahueni baada ya Mama kukalia kiti kwangu mimi CCM na serikali yake ni ileile tofauti ni namana mkalia kiti anavyoimbisha wasikilizaji. Mama Samia kapokea ripoti ya TAKUKURU na ya CAG kamsimamisha kiongozi wa bandari, watu wameshangilia balaa katikati ya kushangilia...
  5. DIZZO MTAWALA

    Simba Sports Club ime set standard

    Wivu hufanya mtu aendelee kudumaa hufikiri ktk mawazo hasi mara zote hufurahia hasara kwa mwenzie kuliko kutatua udumavu wake. Well msimu uliopita @simbaSCTanzania ilikuwa ktk kundi moja na AlAhaly simba sports club ilimaliza juu yake ktk hatua ya robo fainal simba sports club ikakutana na...
  6. DIZZO MTAWALA

    Bulendu: Hizi ndo sababu kuu 3 za kwanini Katiba Mpya ni muhimu

    Kwa nini mjadala wa Katiba ni muhimu?Sababu ni kuwa. 1.Hii ya 1977 iliandikwa ili kuuimarisha mfumo wa siasa za Chama kimoja na ililenga kukifanya chama cha Siasa kuwa juu ya hata Mihimili ya dola. 2.Iliandikwa ili kuhakikisha tunajenga taifa ambalo njia kuu za Uchumi zinakuwa chini ya miliki...
  7. DIZZO MTAWALA

    Katiba mpya muhimu

    Nchi yetu hii ilifikia hatua nzuri sana ya watu kuwa huru kutoa mawazo yao,bahati mbaya baada ya Jakaya Kikwete kutoka madarakani tulianza kutunga sheria kali dhidi ya wenye mawazo kinzani. Wenye mawazo kinzaji waliitwa kila aina ya majina ya kebehi, wenye mawazo kinzani waliitwa mawakala wa...
  8. DIZZO MTAWALA

    CHADEMA tumaini la Watanzania

    Ingekuwa hivyo vibaraka wa lumumba wasingepeleka kesi ya kubumba ya ugaidi
  9. DIZZO MTAWALA

    CHADEMA tumaini la Watanzania

    TAASISI IMARA ILIYOJENGWA KWENYE MIOYO YA WATANZANIA CHADEMA ni chama Kilichobebwa kwenye mioyo ya watanzania toka kuanzishwa kwake chini ya wazee wetu wakiongozwa na mzee Edwini Mtei,mzee hayati Bob makani na wengine wengi . Zipo sababu kadhaaa kwanini ccm na dola wameshindwa kuisambaratisha...
  10. DIZZO MTAWALA

    Fikra mbadala hazipigwi nyundo

    Awamu ya sita na mwendelezo wa awamu ya tano ya mwendazake imefika “shingoni” mwa mwenyekiti FREEMAN AIKAELI MBOWE. Mashtaka ya kigaidi aliyopewa jana ni mwendelezo wa vitendo vya kikandamizaji dhidi ya viongozi na wanachama wa upinzani hususani CHADEMA leo Tanzania [emoji1241] mahabusu wengi...
  11. DIZZO MTAWALA

    Niliandika miaka 6 iliyopita tatizo ni mfumo

    #MFUMO #TATIZO Kuna mjadala mkubwa unaendelea ktk taifa kwa sasa juu ya ripoti iliyotewa na mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali profesa Assad kila mmoja amejaribu kuchambua kwa muono wake vijana wengi wamezungumza kwa kuangalia sehemu ya kubomoa yaani kwa mfano wengine "wamemuatack"mleta...
  12. DIZZO MTAWALA

    CCM na Serikali ya Mama Samia ni ilele

    Ungeijua CCM ungeanzia 1977 ilipozaliwa na ilipofungamanishwa na dola mwaka 1984 na ilipokataa mfumo wa vyama vingi.
  13. DIZZO MTAWALA

    CCM na Serikali ya Mama Samia ni ilele

    Nimeona watu wakiona ahueni baada ya Mama kukalia kiti kwangu mimi CCM na serikali yake ni ileile tofauti ni namana mkalia kiti anavyoimbisha wasikilizaji. Mama Samia kapokea ripoti ya TAKUKURU na ya CAG kamsimamisha kiongozi wa bandari, watu wameshangilia balaa katikati ya kushangilia...
  14. DIZZO MTAWALA

    2020 CCM ishakufa sasa dola ndo iko kazini

    Mwalimu nyerere alisema ili kuwe na maendeleo kwenye Taifa lazima kuwe na ARDHI, SIASA SAFI, UONGOZI BORA NA UTAWALA BORA
Back
Top Bottom