CCM ndani ya kichaka cha dola

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
240
767
CCM kwakuwa hakina uhalali wa kisiasa kimeamua kujificha nyuma ya dola ili kisipelekwe makumbusho, maana CCM haipo kwa umma kimebaki kwenye joho la udola.

Ndio maana suala la bandari lilipoanza kilijifanya kuja kwa umma kikala za uso kikarudi haraka kwenye udola kupitia Jeshi la Polisi, viongozi wake wakaanza kutoa vitisho, Nape kama kawaida na IGP Wambura wakaanza kutoa maneno yenye ukakasi kama kumpindua Rais.

Wengi wanasema nani anamshauri Bi mkubwa, la hasha kiasili CCM ni mafashisti wenye roho za kishetani, hawakawii kukaangamiza ilimradi wabaki madarakani. Kwa hiyo washauri wa Bi mkubwa ni CCM yenyewe yaliyoingia mikataba mingi mibovu inayoliyumbisha Taifa na sasa Bandari "wameiuza" wamebaki chawa na viongozi wapumbavu kama kina Nape kutisha watu.

Hizi si zama za vitisho CCM itaondolewa madarakani kama chama cha siasa si serikali kama mnavyoaminisha watu.

IMG-20230816-WA0042.jpg
IMG-20230816-WA0043.jpg
IMG-20230817-WA0023.jpg
 
Ili kishindo kikamilike, aongezwe mkoma wa nne, Madlka!!

Rejea thread;

WAKOMA waibuka MASHUJAA na kuikomboa nchi- Rabbon
 
Back
Top Bottom