Tatizo ni CCM. Niliandika haya baada ya Rais Samia kukabidhiwa nchi leo bandari imeenda

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
240
767
Nimeona watu wakiona ahueni baada ya Mama kukalia kiti kwangu mimi CCM na serikali yake ni ileile tofauti ni namana mkalia kiti anavyoimbisha wasikilizaji.

Mama Samia kapokea ripoti ya TAKUKURU na ya CAG kamsimamisha kiongozi wa bandari, watu wameshangilia balaa katikati ya kushangilia tuoneshwa madola yamekutwa kwa mzee wa bandari hapa ndio nilielewa CCM ni ileile wanapita njia zilezile kuaminishana hatua zimechukuliwa rejea wakati Hayati JPM alipoingia madarakani yakaanza maigizo mara ohhh pesa zimefichwa mara bwana mmoja anaitwa Masamaki kakutwa na mihela ohh ana nyumba mara Dkt. Dau yaaani sarakasi kibao ndani ya maigizo yao na mbuzi wa kafara kama huyu wa bandari yananogesha lakini ni picha la kutuaminisha CCM imebadilika lakini.

CCM hiii ndo imeminya uhuru wa habari, imeruhusu watu kuporwa fedha zao kwa kisingizio cha kodi.

CCM hii ndo imeruhusu wakosoaji kugeuzwa wahaini, CCM hii ndo imefanya mtoto wa kike akipata mimba asirudi shule, CCM hii ndio matukio ya utekaji sio kwa JPM hata utawala JK, Mwangosi aliuwawa mbele ya Kamanda wa Jeshi la Polisi kina Kibanda, Kubenea na kina Ulimboka.

Tofauti ni matumizi ya kufanyia kazi malengo ya CCM, JK alitumia mfumo wa CCM kupitia green gurd wakati JPM alitumia vyombo vya dola kuhalalisha ukandamizaji wa demokrasia.

Mwisho sioni mabadiliko yoyote kutokea ndani ya CCM na zaidi ni maigizo kupooza alichofanya JPM.

Leo kamteua Philipo Mpango kuwa Makamo wake huyu aliyekuwa akipika data za uongo aliyezulumu pesa ya korosho.

Matatizo ya nchi yataondolewa siku dubwana CCM litapopelekwa makumbusho ibaki historia tu.
 
DP world wanaendesha bandari UK, Belgium, Ujerumani.. USA...
Huko kote bandari zao "hazijauzwa"?
Huko kote wameuza nchi Kwa "mwarabu"??
 
Usisikitie mkuu kila jambo huja kwa mpango wa Mungu, bandari haichukuki,na kila mshiriki atalipa for his/her own risk
 
DP world wanaendesha bandari UK, Belgium, Ujerumani.. USA...
Huko kote bandari zao "hazijauzwa"?
Huko kote wameuza nchi Kwa "mwarabu"??
Unaweza kuweka hapa agreements za hao uliowataja hapa?

Wewe kwa uelewa wako unadhani Dp World anaweza akakaa mezani na Mmarikan akamwambia baada ya kusainishana hapa hakuna popote pakuvunja huu mkataba hata nikionyesha performance mbovu?leo uifananishe Tanzania na America halafu unataka uendelee kujiita great thinker na upo ndani ya JF?
 
DP world wanaendesha bandari UK, Belgium, Ujerumani.. USA...
Huko kote bandari zao "hazijauzwa"?
Huko kote wameuza nchi Kwa "mwarabu"??

..Tatizo hawaelezi kinagaubaga DP wanakuja kufanya nini.

1. Bandari inauzwa?

2. Bandari yote inakodishwa?

3. Baadhi ya maeneo ya bandari yanakodishwa [Kama Ticts]?

4. Je kinacholetwa ni management [ kama Netgroup ya Tanesco]?

5. Kwanini hatutangazi ZABUNI ya wazi yenye ushindani?

..Wangejibu hayo maswali kusingekuwa na taharuki.
 
West wanapata gesi, mafuta na satellite state kws Dubai. Sisi tutapata nini kutoka kwao?
Asie omba kitu hapati kitu....
Kama hatujaomba kitu uzembe ni wetu....sio kosa lao Dp world
 
Nimeona watu wakiona ahueni baada ya Mama kukalia kiti kwangu mimi CCM na serikali yake ni ileile tofauti ni namana mkalia kiti anavyoimbisha wasikilizaji.

Mama Samia kapokea ripoti ya TAKUKURU na ya CAG kamsimamisha kiongozi wa bandari, watu wameshangilia balaa katikati ya kushangilia tuoneshwa madola yamekutwa kwa mzee wa bandari hapa ndio nilielewa CCM ni ileile wanapita njia zilezile kuaminishana hatua zimechukuliwa rejea wakati Hayati JPM alipoingia madarakani yakaanza maigizo mara ohhh pesa zimefichwa mara bwana mmoja anaitwa Masamaki kakutwa na mihela ohh ana nyumba mara Dkt. Dau yaaani sarakasi kibao ndani ya maigizo yao na mbuzi wa kafara kama huyu wa bandari yananogesha lakini ni picha la kutuaminisha CCM imebadilika lakini.

CCM hiii ndo imeminya uhuru wa habari, imeruhusu watu kuporwa fedha zao kwa kisingizio cha kodi.

CCM hii ndo imeruhusu wakosoaji kugeuzwa wahaini, CCM hii ndo imefanya mtoto wa kike akipata mimba asirudi shule, CCM hii ndio matukio ya utekaji sio kwa JPM hata utawala JK, Mwangosi aliuwawa mbele ya Kamanda wa Jeshi la Polisi kina Kibanda, Kubenea na kina Ulimboka.

Tofauti ni matumizi ya kufanyia kazi malengo ya CCM, JK alitumia mfumo wa CCM kupitia green gurd wakati JPM alitumia vyombo vya dola kuhalalisha ukandamizaji wa demokrasia.

Mwisho sioni mabadiliko yoyote kutokea ndani ya CCM na zaidi ni maigizo kupooza alichofanya JPM.

Leo kamteua Philipo Mpango kuwa Makamo wake huyu aliyekuwa akipika data za uongo aliyezulumu pesa ya korosho.

Matatizo ya nchi yataondolewa siku dubwana CCM litapopelekwa makumbusho ibaki historia tu.
Sio deep state tena?
 
Mfitni mkubwa wewe. Mwache rais afanye kazi kipi kipya?. Mkipewa ka demokrasia kadogo mkashirikishwa mnatoa poovu! Sasa dawa yenu ni kimya kimya basi. Magu aliwafanyia uharamia mwingi na kwa kuwa alikuwa akiwachinja na kuwatia korokoroni mlikuwa mmeufyata.
Kaja mama wa watu muungwana nyie mnamshambulia kisa tu kawaweka likizo wasiojulikana. Sasa subirini mtaona.
 
Baada ya kutunga sheria ya kuwalinda sio?
 
Wananchi kilichofanyika leo ni msiba mzito kwetu.

Wametusikiliza, wametudharau!
Hapa nilipo nina majonzi mazito sana ndugu zangu.

Wametuuza huku wakijua wanatuuza.

Lakini ego, ego tu imewasukuma kuziba masikio na kufanya.
udalali wa kutisha dhidi ya nchi yetu.

Na hivyo wametuweka sisi na vizazi vyetu chini ya hisani ya mwarabu katika malango makuu ya nchi yetu.

Kinachoweza kunusuru nchi hii ni kufanya kile ambacho kinaitwa kwa JINA la chama chao tu baasi hakuna njia nyingine. Nieleweni, hakuna tena njia nyingine!. Hiyo peke yake ndiyo suluhu ya unyonge wetu na kukomesha udhalimu wao.

Pupa ya Samia
Ujuaji wa Spika
Ujinga wa Wabunge
Katiba mbovu

Leo vimedondosha moja ya nguzo muhimu ya KUJITAWALA kwetu na KUJITEGEMEA kwetu.

Pole mama Tanzania na watoto wako.
Mafisi wanakuuza utumwani hivihivi kwa vipande vichache sana vya fedha na Matumaini hewa ambayo hayajafanyiwa tafiti za kina!
 
Back
Top Bottom