Recent content by dizzle_2016

  1. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania 2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM

    Jombaaa hii shoe ni vipi, mbna haisomeki au ndo mambo ya uchumi wa mtu mmoja mmoja!!
  2. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Ukawa ooooooovyoo!!!
  3. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Video: Wasichana wa kitanzania wapigana mtaani na kusababisha foleni India

    Mmmhh ni sheeedah!!!
  4. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kukataa mwaliko wa Uingereza na kwenda Uganda, Rais sikuungi mkono

    Naona kuna watu bado hawaja waelewa hao wazungu wanaowasifia... wazungu wote ni wamoja kma mzungu hyu kamfanyia kibaya mweusi yule c kama kafanya kwa bahati mbaya hapana hivyo ndivyo walivyo.. mm naomba tuwe makini sana na hawa watu na tuache kabisa kuwatukuza kisa wanatufadhili, ufadhili huo si...
  5. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Linganisha Zitto Kabwe na Wabunge wa CHADEMA

    Zito ni mwanasiasa wa kwel kwa upande wa upinzani wengine wapiga buruju tu.. hamna kitu!!
  6. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ilala Charles Kuyeko, Atimiza Ahadi Yake kwa Wananchi

    Hahahah damn!! Wakifanya chadema kwao ni sahihi ila kinachofanya upande wq pili ni maigizo!! Huoni aibu kusema hvyo ndugu? Acha siasa mbovu hzo!!
  7. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Waziri Sospeter Muhongo atua uwanja wa ndege wa Mwl Nyerere, Dar

    Tupunguze roho za ?.
  8. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Picha ya Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari, inakupa ujumbe gani?

    Hivyo eeehh!!! Haya!!
  9. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Picha ya Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari, inakupa ujumbe gani?

    Yupo anajipanga na uchaguzi ujao wa 2020!!!
  10. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Kwa hyo hyu dada anataka na watu wengine wasilipe kodi sio kwa sababu rais yeye halipi!! "Kama anavyowasisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi" huyu dada mm naweza mfananisha na yule mchezaji mpira asie jua kucheza kwa sababu siku hiyo kapangwa au kaingizwa kwa kutolewa mchezaji...
  11. dizzle_2016

    JamiiForums Tanzania Hii ni hatari kwa Tanzania miaka ijayo

    Nakuunga mkono mtoa mada, kma watu wanataka kutengeneza chama, basi kisihusishe kabila moja hko chama kiwe mchanganyiko hata kwa kujumuisha marafiki wa makabila tofaut tofaut na sio hzo habar za kabila moja ndo mwanzo wa ubaguzi unapoanzia.. madhara ya hivyo vyama hatuta yaona leo miaka michache...
Back
Top Bottom