chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Wasichana wawili waishio nchini India wameonekana wakipigana barabarani na kusababisha foleni hadi askari walipokuja kuwatawanyisha, chanzo cha ugomvi huo hakikujulikana
Waafrica cjui tumelaaniwa na nani
Wasichana wawili waishio nchini India wameonekana wakipigana barabarani na kusababisha foleni hadi askari walipokuja kuwatawanyisha, chanzo cha ugomvi huo hakikujulikana
Daaaah!Aiseeee!
Kwa mara ya kwanza nadhan naweza kukubaliana na ww, nani anaweza kuthibitisha kuwa hao ni watanzania? hafu mbona hapo kuna weusi wanashabikia kama wanaijeria, nadhan hakuna mtanzania hapa.Nadhani ni hujuma, hao siyo watanzania. Hawa wakenya wanatufanyia hujuma.
Wasichana wawili waishio nchini India wameonekana wakipigana barabarani na kusababisha foleni hadi askari walipokuja kuwatawanyisha, chanzo cha ugomvi huo hakikujulikana
Acha their private parts ziumie,maana mugabe alisema ukiwa mrembo alafu bogaz,huko chini kutakwatuliwa kama shamba la mkongeBadala ya kupigana na maisha wao wameamua kung'oana meno sijui wameenda kusoma au?Asa kusoma kwenyewe kuna wasaidia nini?Busara nazo ziko wapi?Hivi binadamu wote tungekuwa tunasettle disputes kwa kupigana ingekuwaje?Haya bana yote maisha!